Natumia Nokia Lumia, naombeni mwenye msaada jins ya kuiset simu yangu ili kioo kisiwe kinalalaa au kurotate pale simu inapokuwa ipo slanted.
Napenda kuitumia sana nikiwa nimelala kitu kinachofanya nisiwe confotable.
Option ya kuzuia rotation ipo kwenye update mpya ya WP8 (GDR3) Au Nokia Black. Kama umeshaipata hiyo update basi kwenye setting kuna option ya kuzuia rotation. Ninatumia 920 na ninayo hiyo option.
Option ya kuzuia rotation ipo kwenye update mpya ya WP8 (GDR3) Au Nokia Black. Kama umeshaipata hiyo update basi kwenye setting kuna option ya kuzuia rotation. Ninatumia 920 na ninayo hiyo option.
Haijatoka kwa 620 bado, ila inakuja soon. Inategemea pia kama hiyo simu ilikuwa ya network fulani au ambayo iliuzwa moja kwa moja na ya nchi gani. Cheki Availability in Europe - Nokia yangu pamoja na kwamba nimenunua bongo ni from Italy, ukienda kwenye Setting->About Kwenye Carrier itakwambia ni ya nchi gani.