Inakinga screen dhidi ya mikwaruzo, Madoa makali, kemikali inayoweza kuharibu mng'ao wa kioo, pia finger prints na majanga ya kioo kukwaruzika pale simu inapodondoka kwenye kitu kigumu kama vile mchanga/kokoto au unapoweka simu mfukoni pamoja na sarafu au funguo za nyumba/gari.
Protector inabadilishika kirahisi kuliko screen, na pia ni gharama nafuu.