Hivi kuna umuhimu wa kuweka screen guard katika Samsung tablets na phones?naona properties zinazotajwa katika simu hizo kama vile ni madhubuti zaidi kuliko kuweka hizo protector na kuongeza gharama!
yah ni kweli kioo cha simu hasa chenye layer ya gorilla ni vigumu kuliko hizo protector upo sahihi ila tujiulize swa;i;
miguu na viatu kipi kigumu
miguu ni imara kuliko viatu umeanza kutembelea toka upo mdogo hadi leo haijaisha, sababu miguu ni imara je tusivae viatu? kwa nini tunavaa viatu? utaona kwamba tunavaa viatu sababu miguu yetu ni muhimu zaidi ikiumia tunaweza kuikosa kabisa au tukatoa gharama nyingi kuiponyesha.
screen protector nayo ni hivyo hivyo, tunaieka ili kufanya kioo halisi kisichakae. ni bora scratch zikae kwenye protector ili hata zikiwa scratch nyingi tunabandua tu protector na kueka nyengine bila kuharibu ubora wa kioo. simu tunazieka kwenye mifuko pamoja na coins au funguo ni rahisi kupata michubuko.
Gorilla Corning Glasses hazina ubora saana kama zinavyotangazwa au kufananishwa na the King Kong, madhaifu ya Gorilla Corning ni scratches zinazotokana na mikwaruzo ya funguo, sarafu au kupasuka ikidondoshwa ata kama itakua na protector.. Thanks to the technology Sapphire Crystal material ni ngumu kiasi cha kuhimili direct/intentional scratch kwa kutumia msasa, kisu, mawe, kundondoshwa 2ft above the ground... Inapatikana kwa Kyocera Brigadier(Verizon exclusive running Android) ... Pia itakuja na iPhone 6..behold iBoys

Chief, Ni sawa! Lakini the concept hapa ni kwamba Vertu walikua wa kwanza.. Lakini average consumer anayeweza kununua $10,000 phone? My point was affordability Chief.. na siyo adoption timeline..yeah nokia fans tunakataa. nokia tokA miaka 15 iliopita anatengeneza simu za saphire kupitia brand yake ya simu za luxury zinazoitwa VERTU. vertu ndio simu za kwanza kuwa na saphire, gold, na madini kibao ila iphone na wamarekan wanapenda sana kutake credit.
Chief, Ni sawa! Lakini the concept hapa ni kwamba Vertu walikua wa kwanza.. Lakini average consumer anayeweza kununua $10,000 phone? My point was affordability Chief.. na siyo adoption timeline..