Scores dead in attack on Sunni mosque in Iraq

Scores dead in attack on Sunni mosque in Iraq

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,574
Reaction score
53,613
At least 73 people have been killed after a Shia Muslim armed group opened fire inside an Iraqi Sunni mosque in the village of Bani Wais in the country's eastern Diyala province, medical sources have said.

A security source said bodies had been arriving at the hospital in the city of Baquba in Diyala province on Friday.

Footage posted later on YouTube appeared to show the dead strewn across the mosque floor, including the body of at least one child.

Al Jazeera's Jane Arraf, reporting from Erbil, said that according to local sources, the attack could have been in retaliation for a roadside bomb attack at a recruitment event organised by the same militia.

Such sectarian violence could hurt efforts by Iraq's new prime minister, moderate Shia Haider al-Abadi, to form a government that can unite Iraqis against the Islamic State group, the Sunni rebel group that has seized large parts of the country.

Two Sunni parliamentary blocs have suspended talks on forming a new Iraqi government to protest the attack.

The blocs affiliated with Parliament Speaker Salim al-Jabouri and Deputy Prime Minister Saleh al Mutlak are demanding that outgoing Prime Minister Nouri al-Maliki and the main Shia parliamentary bloc hand over the perpetrators within 48 hours and compensate the families of victims, the AP news agency reported.

Iraq's newly appointed prime minister condemned the attack on the mosque.

"I strongly condemn the killing of civilians and worshipers in Diyala province and I call on the citizens to reject these attempts by the enemies of Iraq to exploit the incident in order to stir up strife between the sons of the same homeland," he said.
Attacks on mosques have in the past unleashed a deadly series of revenge killings and counter attacks in Iraq, where violence has returned to the levels of 2006-2007, the peak of a sectarian civil war.

In July, Shia armed groups executed 15 Sunni Muslims and then hung them from electricity poles in a public square in Baquba, police said.

Diyala police officials told the Reuters news agency they had provided Shia militias with names for hit lists so that suspected members of the Islamic State group could be tracked and executed.

Iraqi security forces killed more than 255 Sunni prisoners in July in apparent retaliation for killings of Shias by the Islamic State group, according to Human Rights Watch


iE0vzxnPLSe8.jpg



Source:Al Jazeera

http://www.aljazeera.com/news/middl...ck-sunni-mosque-iraq-2014822121452319807.html
 
sadam angekuwepo haya mauaji yasingekuwepo pia... wamarekani wenyewe ndo wamesababisha... kama libya tuu
 
sadam angekuwepo haya mauaji yasingekuwepo pia... wamarekani wenyewe ndo wamesababisha... kama libya tuu

Tumia akili wewe! Iraq ilipaswa kuendelea kuwepo hata kama sadam hayupo, ilitakiwa wairaq waoneshe ulimwengu kuwa wao ni taifa lenye mshikamano na sio taifa linalotegemea mtu fulani ili liweze ku exist, na hiyo ndio weakness ambayo it is costing them! Kuna watu walikuwa wanaamini kuwa Tanzania bila Nyerere haiwezekani lakini hadi leo takriban miaka 14 baada ya nyerere kufa bado Tanzania ipo! ni kwa sababu ya misingi imara iliyojengwa chini ya uongozi wake, vivyo hivyo hata ccm ikiondoka bado Tanzania itaendelea kuwepo sio kwamba eti bila ccm hakuna Tanzania hiyo ni imani potofu.
 
Tumia akili wewe!
Iraq ilipaswa kuendelea kuwepo hata kama sadam hayupo, ilitakiwa wairaq
waoneshe ulimwengu kuwa wao ni taifa lenye mshikamano na sio taifa
linalotegemea mtu fulani ili liweze ku exist, na hiyo ndio weakness
ambayo it is costing them! Kuna watu walikuwa wanaamini kuwa Tanzania
bila Nyerere haiwezekani lakini hadi leo takriban miaka 14 baada ya
nyerere kufa bado Tanzania ipo! ni kwa sababu ya misingi imara
iliyojengwa chini ya uongozi wake, vivyo hivyo hata ccm ikiondoka bado
Tanzania itaendelea kuwepo sio kwamba eti bila ccm hakuna Tanzania hiyo
ni imani potofu.

usiongee kama hujui kilichotokea. marekani alishapindua utawala uliokuwa
stable pale iraq kwa maslahi binafsi na kilichozuka sasa ni vikundi vya
wanamgambo kila kimoja kikitaka kutawala. haya ndio yalitokea
afghanistani na hata libya sasa hivi nchi hizi ni vigumu kuja kupata amani ya kudumu. marekani ndio gaidi namba 1 na waarabu kwa ujinga wao au kwa maslahi ya wachache wameshindwa kuliona hilo
 
Ina
maana hawa waislam wa Iraq wameshindwa kutambua kama
wamechonganishwa?

si kwamba hawatambui navyoona mimi hapa kinachogombaniwa ni maslahi hasa
umiliki wa rasilimali mafuta na ukizingatia kwamba hakuna anaemwamini
mwenzake amtawale. stability iliyokuwepo wakati wa utawala wa saddam
hussein ilipotea mara tu baada ya marekani kuivamia iraq kwa kisingizio cha kuwa ina silaha za kinuclear
 
sadam angekuwepo haya mauaji yasingekuwepo pia... wamarekani wenyewe ndo wamesababisha... kama libya tuu

Kwani wamarekani ndio wameanzisha uislam? Au sadam angeishi milele?
 
Wamarekani ndiyo wanaoleta ushetani wote duniani ili.
1. Wanatetea ushoga na kutaka nchi za africa tuhalalishe ushoga.
2.wanafadhili israel hela na silaha ili waendelee kuua innocent Palestines
3.wameleta machafuko kwa nchi zote za kiarabu
4.source ya magonjwa yasiyotibika kama aids na ebola.

Muafrika yoyote anayewasupport wazungu na wamarekani ni mpumbavu na hajielewi.
 
1. Democrasia sio mfumo wa kiislamu. Sharia ndio mfumo wa kiislamu. Wamarekani walitaka kuweka fair katika jamii hizi kwa njia za demokrasia-Lakin haiwezekani kwakuwa hawa sio watu wa fair.Hawa ni watu wenye mihemuko ya kidini.

2.waarabu wanamatatizo siku nyingi na yanatatuliwa kibabe.
Kwanza watu lazima wajue Utawala wa Saudi Arabia uko imara ni kwasababu ya Marekani, (kama vile utawala wa Sadam uliimarishwa na marekani pia). Lakini ikitokea marekani ikaondoa mkono wake Saudi Arabia: utasikia wasaudi wanaanza kuchinjana.Kwakuwa kwa imani za uislamu wanauchukulia utawala wa kifalme ni ukafiri* haiwezekani mtu akatawala juu ya watu-allah ndio mtawala wao mkuu wanae mkusudia. Na wale wanaopambana kuuangusha utawala wa Saudi wamewekwa kwenye kundi la magaidi na marekani inamsaidia Mfalme abdulllah aendelee kuwepo madarakani. ndio maana wapo waislamu wanaolalama kuwa saudia ni taifa la kikristo-kitu ambacho hakina ukweli. Lakini Waarabu waote hata wa JF wanatakiwa kuishukuru marekani kwa masaada mkubwa wanaoutoa saudia
KUHUSU IRAQ
Sadam hussein alikalia Iraq sio kwa kutumia njia za kidiplomasia bali udiktea. Ni upuuzi kumlaumu marekani kwa fujo za Iraq kwasababu wakati Sadam hakuweza kutatua miggoro ile, alichofanya sadam hata marekani wanaweza kukifanya vilevile. Ila dunia italaani.Saddam alikuwa dikteta hadi alifikia hatua ya kuwaua wa-kurdish kwa silaha za sumu*. Bado watu watasema iraq haikuwa na matatizo wakati Sadamu Hussein alikuwa anayakandamiza madhehebu ya kiislamu yalikuwa, mpaka utawala wake ulipoondoolewa madarakani. Saddam hakuwa fair. Ingekuwa haina matatizo sadamu hasingewaua kwa sumu waarabu wenzake.
Kuhusu Libya
Gadafi amekaa miaka zaidi ya 40, lakini hakuweza kutatua migogoro iliyoyachini kwa chini ya walibya. Siku anaondoka migogoro imekuwa Mikubwa kwakuwa hakukuwa na msingi. Kilichokuwepo sasa ni kundi lililonyanyaswa linapambana na wanyanyasaji.
Kuhusu syria
Syria ya bashaar: pia kiongozi wao amewaua watu kikatili kwa sumu. na hii ni kwakuwa alishindwa kutatua migogoro yao.

mfano: Tanzania CCM haija-tatua tatizo la muungano: ikitokea upinzani unashika madaraka, Muungano huu utakufa kwakuwa hakuna misingi.
NB: ukionakiongozi au kundi linakaa madarakani muda mrefu ujue pana shaka pale< na siku akiondoka anaweza kuondoka akaacha maafa makubwa sana.
Itazameni Zimbabwe ya mugabe kwa jicho la Tahadhari
 
Wamarekani ndiyo wanaoleta ushetani wote duniani ili.
1. Wanatetea ushoga na kutaka nchi za africa tuhalalishe ushoga.
2.wanafadhili israel hela na silaha ili waendelee kuua innocent Palestines
3.wameleta machafuko kwa nchi zote za kiarabu
4.source ya magonjwa yasiyotibika kama aids na ebola.

Muafrika yoyote anayewasupport wazungu na wamarekani ni mpumbavu na hajielewi.

Mpumbavu wa kwanza lazima utakuwa UFALME WA KIISLAMU WA SAUDI ARABIA, ikifuatiwa na QATAR....
 
kila siku huwa nasema na nitaendelea kusema! KUNA DINI HAZIKUPASWA KABISAAAAA KUWEPO HAPA DUNIANI! DINI ZA VITA NA VISASI! MUNGU WETU UTUHURUMIE, UIRUDISHE AMANI TENA DUNIANI! amennnn!
 
Back
Top Bottom