Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,611
- 22,516
Lini fake ids zimeamza kuwa za kweli? Hapa tunaangalia point tu, bila kujali gender ya mtu.She is my wife
Enhee !
Lini fake ids zimeamza kuwa za kweli? Hapa tunaangalia point tu, bila kujali gender ya mtu.She is my wife
Enhee !
Okay sawaLini fake ids zimeamza kuwa za kweli? Hapa tunaangalia point tu, bila kujali gender ya mtu.
Muhimu siyo kumcheka! Muhimu mngemwambia alete hoja.Hahaha jamaa anasema earth ni flat
Hahahah
Tujifunze namna gani ya kuweka mijadala. Mtu akileta jambo ambalo linakinzana na uelewa wako si kuanza kumnanga!Unaonesha ulivomjinga tu ulienda shuleni kuuza sura. Earth is flat my foot.
Hata watu wa zamani science yetu wangesema ni fiction lakini siyo fiction ni facts kwa jamii yetu ya sasa.
Kwa jinsi uwezo wako wakufikiria ulivyo mdogo huwazi mbali zaidi kwahiyo sishangai haya maneno yako hapa.
😂😂 nijadiliane na mtu kwamba Earth sio flat?Tujifunze namna gani ya kuweka mijadala. Mtu akileta jambo ambalo linakinzana na uelewa wako si kuanza kumnanga!
Sijui shule ulienda kuuza sura na mengineyo kama hayo! Ijapokuwa Dunia ni tufe, lakini baadhi ya ushahidi wa kile kilichotumika kuthibitisha umbile la Dunia, nyengine zimeonekana ni uongo ijapokua mwanzoni zilifanya kazi.
Wote tunajifunza! Kama wajumbe waliyosema Dunia ni flat; jawabu lingelikuwa ni rahisi tu. Ungelimuambia tulijadili! Alete ushahidi nawe ulete ushahidi.
Ili uweze kujadiliana na yoyote kuhusu hili nitakuuliza maswali machache tu nione mlengo wa uelewa wako..[emoji23][emoji23] nijadiliane na mtu kwamba Earth sio flat?
Usinikaushe kizazi.
Na hilo ndiyo tatizo!😂😂 nijadiliane na mtu kwamba Earth sio flat?
Usinikaushe kizazi.
Unaamini kile ulichofundishwa darasani, tumeclaim tu ila kiuhalisia kwa common sens ni vitu ambayo vipangana.Hahahaa siwezi kupoteza intellect yangu kumuelewesha mtu anaye sema the Earth is flat.
Unataka nioneshe uelewa gani ambao hata mtoto wa darasa la saba anajua.
Nyie ndo walewale.