Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,217
- 3,425
- Thread starter
- #21
Hahaa mbona nimeandika vitu vya kawaida?Mkuu rekebisha kauli ama ipake grisi kdogo, wewe una comment tu hausomi hata gender? Anaweza akakupenda akakuoa!
Maana watu wengine huhusudu wanawake wasomi na wabishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo sipo kwenye thread ya black hole kupendana na watu.

