Mh! Bongo huku tunashindana kwasiasa ushwara tuu, habari za maendeleo kama hizo hazipewi kipaumbele kabisa, tunawataalamu kibao wanaandika research nzuri zinaozea kwenye madroo tuu eti hakuna pesa za kutosha kufanya hiyo miradi lakini zakununulia ma VX V8 na kuongeza mishahara ya wabunge zimejaa kedekede inasikitisha sana!