Xpaster Dawao ipi hiyo iliyopo ????? Ni ile ya ABC??? Mi napenda nisikie wanatoa dawa ya dozi kama kikombe cha babu, au rangi mbili au chanjo ........hahahahhaha
Sometime naamin dawa wanayo lab wanasubiri kiwango chetu cha mmbukizi kifikie level waliyopanga wao ndo waitoe rasmi.