Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,468
- Thread starter
-
- #21
Mkuu hivi seriously unaamini haya mambo unayoandika au unachangamsha jukwaa?4. Kwa hiyo uböngo unapigwa picha kwa njia ambayo inaitwa ultra sonic cerebral hologram. Nilisema wabolsheviki wanatumia listi ya nelsön rockeffeller kuwatafuta wagomvi wao. Hii imefanywa kwa kila aliyepo kwenye ile list ambaye amekwenda russia au ulaya mashariki.[. Yaani kama umekwenda ulaya au marekani hao watu tayari wanayo picha ya holografi ya akili yako]
Let us skip the introduction and say what happenned afterwards. As of now, the white house and cabinet are under complete control by russia. According to my latest intelligence report only one member of the carter cabinet is still alive. All the rest,including the ad hoc gang of four have been replaced by russian robotoids. Likewise,the us has a supreme court made up of 9 russian robotoids. Jimmy carter was a robotoid. After carter reagan was president,and then bush,then clinton,and then again bush and then clinton. Now all these several presidents,reagan,bush,clinton,bush,all were robotized. You ask how can such important people be robotized? It is because it is the big. Bad Boy himself Satan who is doing this. Hillary. Clinton is a robotoid and yet tunasikia she is a front runner. But you ask why would anyone want to robotize leaders? Kuna ubishi jinsi ya kuleta maendeleo duniani. Kuna kazi nyingi za kufanya. Unachohitaji ni kiongozi afanye kazi kama mashine,au mashine ifanye kazi kama kiongozi. ?
som1times mtu mzima kuwa obsessed na Sci-fi na fantasy ni dalili za utaahira.
Kuhusu Hologram na 3d si "science fiction" ni technology ambayo ipo tayari, hayo mengine ya white house na "robotoids" inabidi tuyaangalie kwa jicho la 3D. Jisomee:
The Japanese have managed to combine hologram and 3d technologies, they wanted to use the technology during the world cup in Japan and Korea but FIFA refused them. Now they have made another bid for world cup 2022 and they have repeated their plea of using combined Hologram and 3D technology.
The said technology would enable us to view pictures and videos without screens. Its simply amazing.
You could go to The National Stadium in Dar and watch the soccer match played in Wimbledon as if it is played in Dar.:
"I have to admit that the idea of this blows my mind away," Japan 2022 bid committee chief executive Kohzo Tashima said.
"Three hundred and sixty million people could have a full stadium experience of matches; that's over 100 times the number of spectators at the 1994 World Cup in the United States," he told FIFA's executive committee.
Chanzo: Japan pitches 3D hologram World Cup - ABC News (Australian Broadcasting Corporation)
Ni yeye...!!!
Inawezekana hiyo kweli kuona picha bila kutumia screen? Mh nahisi harufu ya NGUVU YA GIZA hapa!Or maybe the man himself SATAN is behind the idea!
Robotoids wanaweza kufanyiwa programu wajilinde,lakini pia wanaweza kufanya kazi za kujitolea mhanga... Kama misheni ya anga za juu ni hatari sana,robotoid wa cosmömaut anaweza kupelekwa.. Mpango wa Warusi ni kuanza na viögozi wa juu kwenda chini. Sasa hivi . White. House na cabinet yote ya. Carter iko mikononi mwao. Mawaziri wote wa cabinet wameuawa,isipokuwa mmoja. Badala yao wapo robotoids wa russia. Katika Supreme Court pia wapo robotoids.9. Wapo pia robotoids katika Senate. Wale maseneta waliokuwa wanapinga. S. A. L. T 2 wamebadilishwa na robotoids. Warusi wamebadili wachache tu. Lakini wanao uwezo wa kuibadili. Senate yote kuwa robotoids.
Hiyo ndiyo habari yenyewe kuhusu robotoids. Nimesema nitaandika. Watu waamue kama wanataka kuamini. Mimi nadhani sasa mambo yanakuwa very static kwa vile watu hawashirikishwi,they are not able to participate.
Inawezekana sana tena, niliiona Dubai Mall wakifanya maonesho ya Hollogram na 3D, its simply amazing.
Hpa Taanzania wakatiwa miaka 50 ya Uhuru waliionesha angani lakini ilikuwa ni hologram pekee si mchanganyiko na 3D.
Kutokana na ID yako inapaswa uyaelewe haya mambo. Jisomee: https://www.google.com/search?q=hologram+and+3d+combined+in+Japan&ie=utf-8&oe=utf-8
Kuwa na ID ya namna hiyo haimaanishi ninajua au ni lazima nijue kila kitu bibiye, ina maana kwavile unatumia ID ya Foxy basi na wewe ni lazima uwe na tabia kama za mnyama huyo hasa ya kuzaa watoto wengi au kuwa na tabia zinazoendana na maana nyingine ya neno ya hilo (bitching around)?
Anyway,thanks for the information my lovely mama.