Science teachers is available -Biology and Chemistry subject

Science teachers is available -Biology and Chemistry subject

Mwendamsakafu

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
38
Reaction score
4
Wan JF nimetimu chuo udsm mwaka huu fani ya ualim ya science nakupata GPA 3.0 kiukweli nimeandika barua nying mno mara sku, wiki hadi miezi hakuna majibu,mashuleni pamoja na kuafuta shule za kujitolea naambiwa njo jan.mwakan shule haina hela, kwa mu2 yyte mwemwa ambaye anaweza akaniita kazi nimsaidie vilevile nina ujuzi wa computer mwenye mawazo ushauri nakaribisha kwa sasa nipo dar contact; 0682883703
 
"Science teachers is available"
Are you sure kuwa umehitimu chuo kikuu? tena UDSM!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom