Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Heshima kwenu wanajamvi. Napenda kushare hili na walimu wote wa masomo ya science na engineering, Kuna watu wameamua kukaa chini na kuona ni vyema Kuwa na Chama ambacho kwa umoja, ubunifu na utendaji makini kinaweza kutatua matatizo na kutengeneza jamii ambayo ina uelewa mkubwa katika mambo yahusuyo sciences kwa ujumla. Hii itapelekea Kuwa na wabunifu wengi katika jamii yetu na kufanya maendeleo ya nchi yetu yawe mazuri. Wito wangu kwa walimu wote kuanzia shule ya msingi mpaka vyuo vikuu tuunge mkono juhudi hizi kwa kumua kwa dhati Kuwa mwanachama na kuchangia kwa mawazo ili kujenga taifa bora.
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Chama www.stat.or.tz
Walimu ni taa ya jamii kwa pamoja tuijenge nchi yetu
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Chama www.stat.or.tz
Walimu ni taa ya jamii kwa pamoja tuijenge nchi yetu