Kwamba huongo mwingiMiongoni mwa film zilizo nishinda ni hizo na zile za India.
Hiyo movie ilivunja record ya titanic ikashikilia record ya 9years kabla ya endgame kutake overAvatar ndio the best
Angalia ata avatar ziko vizuriMiongoni mwa film zilizo nishinda ni hizo na zile za India.
Movie za aina gnHey anayetaka kuingiza movie zaidi ya 200 kwa Shs 10,000 za mwaka 2022/2021 nicheki
Venom movie kali sanaWarcraft
Venom
Jupiter Ascending
Mortal Engines
Blade
Dune
Avatar
Men in Black
Star wars
Lord of the Rings
Spiderhead
The Adam project
Spider Man
Iron Man
Super Man
Bat Man
Love and Monsters
Gemin Man
The Matrix
Black Crab
Rampage
Aina zoteMovie za aina gn
GoodAina zote
Movie safi sana hizo.Wakuu hii ndo list yangu ya movies za kisanyansi na fiction za muda wote enjoy
Terminator
planet of the apex
Alien
Blade runner
The matrix
Back to the future
Interstellar
Contact
Star war
The road warrior
Predator
The man from earth
Edge of tomorrow
Dark city
District 9
Mad max
Star trek
Ex machine
Avatar
Cube
Robocop
Total recall
Moon
Super 8
Signs
The fly
Escape from New York
Pacific rim
Dredd
Oblivion
Pitch Black
Limitless
War of the world
Enemy mine
A.I
John Carter
Waterworld
Ant-man and the wasp
Black panther
Infinity pool
M3gan
The flash
65
Avengers
Black Adam
Thor
Spider man
Inception
Hunger games
The marvels
Transformers
aquman
Strange world
Guardians of the galaxy
Nope
Dune
Jurassic world
External sunshine of the spotless mind
WALL-E
The prestige
Antiviral
The vast of night
Moon
Galaxy quest
The hidden
Gost in the shell
Attacks the block
Upstream color
Tron
pi
Chronicle of riddick
High life
Gattaca
A space of odyssey
Ongeza na nyingine
View attachment 2535898
HALO ni moja ya scifi/fantasy series safi sana.HALO
PRISON BREAK
Fantasy inaweza isiwe sci-fiMovie safi sana hizo.
Ila tunashindwa kutofautisha kati ya movie za sci-fi na fantasy.
Ndo ipi hiyoHALO ni moja ya scifi/fantasy series safi sana.
Mkuu unaangalia/umewahi angalia series ya Seal Team ?
Wewe uko wapiKwa wale wanaotaka movie naweka zaidi ya 200 nakuwekea kwa 10,000 tu
Hii siyo sci-fi-movie.HALO
PRISON BREAK
Ndio mkuu, ila movie kama warcraft, lord of the rings, harry potter and the like hizo ni pure fantasy.Fantasy inaweza isiwe sci-fi
Seal Team inahusu special force moja ya marekani , Navy Special Warfare Development Group(wenyewe wanajiita DevGru, sisi tunawajua kama Navy seal team 6) na vimakundi vyake vidogo vidogo.Ndo ipi hiyo
MbagalaWewe uko wapi