Mianzin Arusha
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 132
- 141
Upo sehemu gan?Hey anayetaka kuingiza movie zaidi ya 200 kwa Shs 10,000 za mwaka 2022/2021 nicheki
Upo sehemu gan?Hey anayetaka kuingiza movie zaidi ya 200 kwa Shs 10,000 za mwaka 2022/2021 nicheki
Nipo chugaMbagala
DuuNipo chuga
YeahOfcoz hizo movie ni the best kwa upande wa sci-fi-movies.
GoodSeal Team inahusu special force moja ya marekani , Navy Special Warfare Development Group(wenyewe wanajiita DevGru, sisi tunawajua kama Navy seal team 6) na vimakundi vyake vidogo vidogo.
Avator ya mkuu mmoja huko juu ni picha ya mmoja wa main characters wa kwenye hiyo series.
Tuko mbaliMbagala
Ongeza list mkuuSeal Team inahusu special force moja ya marekani , Navy Special Warfare Development Group(wenyewe wanajiita DevGru, sisi tunawajua kama Navy seal team 6) na vimakundi vyake vidogo vidogo.
Avator ya mkuu mmoja huko juu ni picha ya mmoja wa main characters wa kwenye hiyo series.
Hivi Jurassic zinaingia kama sci-fi na sio adventureLucy
Project power
G. I joe
Everything everywhere all at once
Samaritan
Battle: los Angeles
Spectral
Firestarter
Time traveller's wife
Jung E(korean)
Geostorm
2012 (moja ya apocalyptic scifi movie safi sana)
Passengers
Brightburn (what if superman asingelelewa katika maadili yanayomfanya kuwa superhero? iko pouwa sana)
The Meg
Army of the dead
The mitchells vs the machines (scifi animation )
The invisible man(ziko mbili moja ya zamani before 2016, nyingine ya hivi karibuni above 2016)
Upgrade
Ready player one
Jurassic park and world zote.
Tenet
The tomorrow war
Mimi naamini Jurassic ni scifi mkuu.Hivi Jurassic zinaingia kama sci-fi na sio adventure
Sawa mkuuMimi naamini Jurassic ni scifi mkuu.
Adcenture ni kama Tomb raider, Indiana Jones, George of the jungle , hivi. (Sina uhakika kwa 100%).
Ipi Jurassic unayoikubali mkuuMimi naamini Jurassic ni scifi mkuu.
Adcenture ni kama Tomb raider, Indiana Jones, George of the jungle , hivi. (Sina uhakika kwa 100%).
Jurassic park 1,2 na 3. Nilikuwa nina shuka la "jurassic park" kabisa mkuu.Ipi Jurassic unayoikubali mkuu
Umetisha sana mkuuJurassic park 1,2 na 3. Nilikuwa nina shuka la "jurassic park" kabisa mkuu.
Naomba tofauti na mfano wa movies za sci-fi na fantasy.Movie safi sana hizo.
Ila tunashindwa kutofautisha kati ya movie za sci-fi na fantasy.
Sci-fi: Terminator, Captain America, Iron man, spiderman, lucy, starship troopers, predator, the incredible hulk, Godzilla, Jurassic park & world.Naomba tofauti na mfano wa movies za sci-fi na fantasy.
naomba mfano wako uwe kwa zile movie za zamani tunazozijua wengi.