Kwa sababu kuna sheria inasema hivo duniani koteWakuu habari za jioni
Napenda kuuliza hiv kwanini mabasi ya kubeba wanafunz shuleni Yote Huwa yana rangi ya Njano tena hii nmeona mpk nchi za wenzetu
Rangi ya njano inaonekana zaidi ata kukiwa na mwanga mdogo (asubuhi sana wanavowahi mashuleni)Wakuu habari za jioni
Napenda kuuliza hiv kwanini mabasi ya kubeba wanafunz shuleni Yote Huwa yana rangi ya Njano tena hii nmeona mpk nchi za wenzetu
Ndio kabisa.Unamaana unaweza kuhukumiwa usipofuata hyo Sheria?
Ha haaaaKwa sababu rangi ya njano inagawiwa bure tu, haina thamani
Rangi ya njano inaonekana zaidi ata kukiwa na mwanga mdogo (asubuhi sana wanavowahi mashuleni)
How old are you kid?Ndio kabisa.
Tena trafiki wanakamata gari
Wakati ninasoma o level gari letu la shule lilikua green uongozi wa shule ukapewa onyo ukabadili
Pia A level shule nyingine ikawa hivo hivo
20's mkuuHow old are you kid?
Sure...20's mkuu
School bus zilikuwepo hata mwaka 2000