Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 25,485
- 72,834
Habari. Naona jukwaa lipo Busy na HESLB ila tusisahau na mambo ya Scholarship.
SINGAPORE Training Cooperation wametoa Scholarship ya Short courses kwa Watanzania Watumishi wa Uma.
Maelezo jinsi ya kuapply, application Form na Eligibility criteria vipo katika website ya Utumishi. www.utumishi.go.tz