Scholarships in India 2010/2011

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,489
79
goodluck!
 

Attachments

  • hii hapa.pdf
    201.5 KB · Views: 74
  • hii hapa.zip
    190 KB · Views: 57
Inabidi sasa serikali/ wizara ya elimu ya juu itafute namna ya kunegotiate hizo scholarship zitolewe nchini kwenye vyuo vyenye hadhi badala ya watoto wa watu kujiweka hatarini kwa kwenda huko India
 
Asante best ila siyo siri siwezi hata kuomba kwenda huko bora nisomee hapa kwa wajaluo badae nirudi home!
 
Asante best ila siyo siri siwezi hata kuomba kwenda huko bora nisomee hapa kwa wajaluo badae nirudi home!
Kuishi India siyo lelemama! Unatakiwa uwe na roho ya paka! Sijapata kuona binadamu wachafu kama hao! I mean it! Nyie waoneni hawa wahindi wa hapa kariakoo etc, hehehehe wakiwa kwao hao ni wachafu zaidi ya hapo hata vyoo vinaunafuu! Pili ni wabaguzi hakuna mfano! Ila wao wakibaguliwa wataandamana na kupiga kelele kama mbwa koko!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom