Scholarship

Scholarship

kaxoghur7

Member
Joined
May 27, 2016
Posts
60
Reaction score
20
Ndugu kuna uwezekano wa mwanafunzi 4m 4 failure.. Mwenye Div 4 ya 26... Yaan C moja ya math... Mwenye first class diploma... Na first class degree... Courze Accouting... Chuo Mzumbe... Kupata scholarship Master ya kusoma nje ya nchi kama Uingereza?...jamani hiki kitu kipo... Maana kuna dogo analisumbua saana kuhusu yapo mambo... Ahsanteni
 
Back
Top Bottom