Scholarship za elimu ya juu (Masters or PhD)

Mwalimu Ntuntu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
314
Reaction score
294
Wana jukwaa la Elimu, kheri ya Mwaka Mpya!!

Mimi ni kijana mwenye matamanio ya kusoma mpaka kiwango cha Masters au mpaka PhD, naomba kusaidiwa mawazo ya namna ya kupata udhamini wa kuweza kutimiza matamanio yangu ya kielimu.....

Msaada wenu wana jukwaa!!!
 
Ahsante sana mkuu!!@ Mabumbe
Kama una GPA nzuri 80% out 100% ni pm lakini uwe tayari kwenda kusoma kokote kule patakapopatikana. GPA ni muhimu kama una GPA kimini zilizopo hazitakufaa,so usinipm tuongee hapahapa.
 
Mkuu miye nina GPA 3.3 ya BSC ECONOMICS nisaidie Aisee nipige Masters
 
Mdogo angu ana 3. 9 kwenye scale ya 5 ambayo ni km 78% vp unaeza muangalia au lazima iwe 80%
mkuu hiyo anapata kabisa! niambie amesoma fani gani? lakini kwa nchi zinazozungumza kienglish watamtaka awe na matokeo ielts vs toefl, lakini china, india russia na asia kwa ujumla anaenda bila hiyo ielts vs toefl test,
 
Bed English Language
 
mkuu hizo ielts vs toefl ndo kitu gani?
 
Kama una GPA nzuri 80% out 100% ni pm lakini uwe tayari kwenda kusoma kokote kule patakapopatikana. GPA ni muhimu kama una GPA kimini zilizopo hazitakufaa,so usinipm tuongee hapahapa.
Gpa 4.0 out of 5 Degree in Management of social development. Mkuu ninaweza nikawa eligible?
 
Aseeeeee!!! Kumbe kitaa kuna GPA kali balaaaaa!!! Naomba nirudishe chini ya godoro la kulalia kacheti ka GPA ya ugoko
 
mkuu hizo ielts vs toefl ndo kitu gani?
IELTS means International English Language Testing System and it is a test of English language proficiency. na Test of English as a Foreign Language (TOEFL) is a standardized test to measure the English language ability of non-native speakers wishing to enroll in English-speaking universities. The test is accepted by many English-speaking academic and professional institutions. anaweza akachukua test moja kutoka british council hapo DSM.
 
Back
Top Bottom