Scholarship ya pan africa university

Scholarship ya pan africa university

Joined
May 29, 2014
Posts
83
Reaction score
23
Watanzania kunaopportunity ya kwenda kusoma masters na phd kwenye field mbali mbali through this full scholarship offered by African Union. Nitaweka link muione vizuri. Mi ni mmoja wa waliochaguliwa for a master program through that scholarship. Yaan tuliochaguliwa ni wawili tu toka tanzania sababu hakuna watu wanaoapply. Wakati nchi nyingine ni 20 hadi 30
 
Mbona muda wa application umeisha tangu March. Au wametoa tena
 
Ila nawaeleza kwa ajili ya scholarship ijayo around feb to march next year
 
Je huyo scholarship huwa ni full au partial?
 
Hiyo ni full scholarship....inakupa kila kitu ikiwemo free tution, accomodation, for phD monthly allowance of 1100$ but masters 750$
 
Watanzania kunaopportunity ya kwenda kusoma masters na phd kwenye field mbali mbali through this full scholarship offered by African Union. Nitaweka link muione vizuri. Mi ni mmoja wa waliochaguliwa for a master program through that scholarship. Yaan tuliochaguliwa ni wawili tu toka tanzania sababu hakuna watu wanaoapply. Wakati nchi nyingine ni 20 hadi 30

Mkuu Hongera Sana.
1.Hiyo Scholarship ni Kwenda kwenye Nchi gani?
Vyuo vinavyosapotiwa na hiyo Scholarship ni vya Nchi gani ?
2. Masters ni miaka 2 au 3?
 
Back
Top Bottom