Scholarship to study in Egypt.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Scholarship to study in Egypt..

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MNDEE, Sep 15, 2009.

 1. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Primary school pupil (10) wins scholarship to study in Egypt

  By Michael Haonga (ippmedia)

  "A 10-year-old pupil, Seif Khalfan Issa, has won a special scholarship including, 2m/- and air ticket to study in Egypt up to university level after he emerged winner of a Qoran reciting contest held in Dar es Salaam.."

  Kwa mtazamo wangu Tanzania kama nchi maskini inahitaji scholarships kwenye areas ambazo zitasaidia kumkwamua mtu mmoja mmoja na nchi kwa ujumla. Area ambazo I would think wanaotaka kutusaidia waangalie ni kama Elimu (sio ya kidini), afya, technologia, biashara, uchumi, na kadhalika.

  Nachelea badala ya kuondokana na ujinga na umaskini tutaambulia maextremist.
   
 2. b

  bnhai JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Mie nachelea uextrimism wa JF unaletwa na wanaJF wenyewe. Hivi karibuni nilifika Tanzania nikiwa nadhani nitakumbana na hisia za udini kama zinavyoonekana hapa JF. Lakini ni tofauti kabisa na matarajio yangu maana bado wananchi wameshikamana na hata hawajui kama kuna mvutano, tuepuke kuwa negatives.
  Viongozi wa dini wamekuwa wakishukuriwa kwa kujenga ethics std. Rejea ishu ya ya miongozo yao kuelekea uchaguzi. Rejea dini mbalimbali zinavyosomesha watu wao kwa lengo tu la kujenga maadili kwenye jamii. Hawezekani woote tujikite kwenye masomo bado tunahitaji watu wa kusimamia maadili. Ila ungeweka point yako kwa angalizo si tishio kama isomekavyo
   
 3. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwani we 'Mndee' umesoma wapi kuwa anaendasoma hiyo Qoran tu kuanzia primary mpaka chuo. Mi nafikir kutakua na masomo mengine. Labda useme atakua mbumbumbu ktk masomo km jiografia, kiswahili, historia, siasa n.k ambayo yanaihusu Tanzania moja kwa moja. Otherwise kama akipata digrii say ya uhandisi au udaktar, u name it, hapo atakua hajasaidia nchi akirudi ku-work huku!
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Habari jinsi ilivyokaa haijasema anaenda kusoma elimu ya aina gani. Inasema tu anakwenda kusomeshwa mpaka afike chuo kikuu. Kumbe si vema kuanza kulaumu kabla hata hatujajua aina ya elimu anayokwenda kusoma. Bila shaka hata kama atasoma elimu ya dini atapewa pia fursa ya kusoma elimu ya kidunia ambayo pia ni ya lazima sana kwa maisha yake.
   
 5. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0

  Nimesimamia kwenye kigezo kilichotumika kumpata mshindi wa hii scholarship. Kwa vile masomo ya kidunia hayakuwa moja ya vigezo vya vya kumpima au kumpata mshindi ni wazi kuwa mshindi anakwenda kuzamia kwenye dini.
   
Loading...