Scholarship opportunities ughaibuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Scholarship opportunities ughaibuni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MAKULILO, Aug 10, 2011.

 1. MAKULILO

  MAKULILO Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES UGHAIBUNI

  Habari zenu ndugu wadau

  Ni matumaini yangu mu wazima wa afya na familia zenu. Nina tangazo la kuwasaidia watu kuhusu mambo ya elimu ya juu na udhamini wa masomo hayo ughaibuni.

  Kwa wale wote ambao wanatafuta nasafi za kusoma elimu ya juu na kupata udhamini, huwa nina huduma ya kuwasaidia watu wanaotoka nchi zinazoendelea. Msaada wangu ni wa taarifa (Information) za scholarships, na pia ushauri wa nini mtu ufanye na vitu gani uandae ili uweze kuwa mshindani na kuinuka kidedea. Huduma hii ni BURE 100%.

  Mimi binafsi ni mfano dhahiri wa watu walionufaika na Scholarships. Nimeshapokea (i) Fulbright Scholarship (30,000 USD to teach at Swahili and African Studies at Marshall University, West Virginia 2008/2009), (ii) Rotary Ambassadorial Scholarship (24,000 USD to cover living expenses for 12 months of my MA Peace and Justice Studies at University of San Diego in California), (iii) Joan B Kroc Peace Scholarship (36,000 USD to cover tuition and fees for my MA Studies). Kwahiyo nimeshapokea zaidi ya dola 90,000 USD. Na sasa najiandaa kwa scholarship ya PhD in Conflict Analysis and Resolution ambayo itakuwa kubwa zaidi. Na si kwamba nina bahati, la hashaÂ…ni kujua taratibu zitakiwazo na kuzifanyia kazi kwa juhudi zote.

  Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika kutoa ushauri na taarifa hizi za scholarships. Maelfu ya watu wamenufaika na taarifa hizi. Ninapenda kutoa wito kwa watanzania wengi kupambana na kufuatilia maana ushindani ni mkubwa.

  Jina langu ni Ernest Makulilo (MAKULILO, Jr.). Kwa kuweza kupata taarifa za scholarships unaweza ku-google MAKULILO au kutembelea moja kwa moja kwenye blog yangu na forum yangu. Tembelea
  1. MAKULILO SCHOLARSHIP BLOG www.makulilo.blogspot.com
  2. MAKULILO SCHOLARSHIP FORUM www.scholarshipnetwork.ning.com hapa kwenye Forum hii kuna nafasi ya kuwa MEMBER ambapo mpaka sasa kuna zaidi ya members 2281. Unapokuwa member ni kwamba kila ninapo-post taarifa yoyote ile ya scholarship inakuja moja kwa moja kwenye e-mail yako na kuweza kuifanyia kazi. Pia unaweza kuuliza swali lolote kuhusu mambo ya scholarship na ukapata majibu yako bila usumbufu. Hivyo nenda kwenye sehemu ya SIGN UP na jiunge.
  3. MAKULILO SCHOLARSHIP SHOW www.youtube.com/makulilofoundation Hapo utaweza kuona videos mbalimbali zenye msisitizo wa mambo ya msingi ya scholarships
  4. MAKULILO SCHOLARSHIP FOUNDATION www.makulilofoundation.org
  5. MAKULILO SCHOLARSHIP FACEBOOK www.facebook.com/makulilo.scholarships
  6. TWITTER www.twitter.com/scholarshipssss Follow Scholarship Forum on Twitter to get scholarship updates
  Unaweza pia kusoma baadhi ya interviews zangu kuhusu hatua za uombaji scholarships hapa MWANANCHI (CLICK HERE) na BLOG AWARDS (CLICK HERE)

  Kwa maswali au ushauri, wasiliana nami kwa E-Mail makulilo@makulilofoundation.org Na kwa wale ambao watakuwa wanataka kuongea nami wanaweza kunitafuta kwenye skype, username yangu ni makulilo1 na pia kwa simu tutawasiliana na nitakupa namba ya simu endapo mtu akiihitaji kuongea kwa simu direct.

  101_0097.jpg
  MAKULILO
  California, USA
   
 2. Researcher

  Researcher Senior Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kazi nzuri mdau..saidia watanzania wapate elimu.

  Kubwa zaidi ni kusisitiza kurudi bongo baada ya kumaliza maana naona uwezekano wa kuishi binadamu humu ndani unazidi kufifia kila uchao...
   
Loading...