Asante mleta Uzi ngoja nicheki kozi itakayo nifaa na pia kama itakuwa na mashariti rahisi zaidi. Ngoja nifungue hii ya Pakistani maana nikiona masomo yamenishinda nikavae bomu.
jamani wenzangu Mimi ndo niko form six hgl nataka nisomee law scholarship zinazonifaa zipo?? na hio ishu ya interview inakuaje au kufanyikaje? na ni vyuo vyote hufanya interview??Monash kimbembe kupata student ID number ili uweze kuapply!!
jamani wenzangu Mimi ndo niko form six hgl nataka nisomee law scholarship zinazonifaa zipo?? na hio ishu ya interview inakuaje au kufanyikaje? na ni vyuo vyote hufanya interview??