Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 720
- 1,210
.
Ya afya iyo iyo mkuuDiploma ipi mkuu kuwa wazi.
Ila kama afya kuna kauafadhali.
Dah tusubirie wajeSamanan mkuu naomba na mm niseme pia nahitaj diplom scholarship ya afya mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda advance. Kasome PCB. Mimi nimemalia 2017 nilipata div 3 ya 23 nilibalance comb. Ila sikufanikiwa kuchaguliwa kwenda advance ndo maana natafta msaada hapa nieende nikasome diploma ya afyaMe ndo nmemalza form four 2018 nna division two ya 20 na nmebalanc comb zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda advance. Kasome PCB. Mimi nimemalia 2017 nilipata div 3 ya 23 nilibalance comb. Ila sikufanikiwa kuchaguliwa kwenda advance ndo maana natafta msaada hapa nieende nikasome diploma ya afya
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaaaAnhaa sawa ila mm advanc cpapend tyu ndo maan natak nend huko chuo ndug yang
Sent using Jamii Forums mobile app
JAMBONIA LTD alileta habari ya kutoa scholarship kwa watu wa clinical medicine mcheki atakuonesha mwanga,
SawaJAMBONIA LTD alileta habari ya kutoa scholarship kwa watu wa clinical medicine mcheki atakuonesha mwanga,
But ilikuwa 2018.
Jinga kwel nenda ukasome shule kwanza nan akupe scholarship kusoma diploma pumbavuMe ndo nmemalza form four 2018 nna division two ya 20 na nmebalanc comb zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinga kwel nenda ukasome shule kwanza nan akupe scholarship kusoma diploma pumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Msigombane. Omary we nenda shule mzee baba ukasome miaka yako 2 ukitoka hapo ukapige degree. Unataka uanze na madiploma huku mpaka ufike degree umri ushaenda. Kaa chini tuliza akili nenda advance.Anhaa sawa ila mm advanc cpapend tyu ndo maan natak nend huko chuo ndug yang
Sent using Jamii Forums mobile app
Diploma miaka miwili, advanced miaka miwili,Msigombane. Omary we nenda shule mzee baba ukasome miaka yako 2 ukitoka hapo ukapige degree. Unataka uanze na madiploma huku mpaka ufike degree umri ushaenda. Kaa chini tuliza akili nenda advance.
Kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Course gani ya afya diploma miaka 2?Diploma miaka miwili, advanced miaka miwili,
muacheni mtu afate anachokiona kinamfaa.
Yah ilikua mwaka Jana ,mwaka huu sina information yoyoteJAMBONIA LTD alileta habari ya kutoa scholarship kwa watu wa clinical medicine mcheki atakuonesha mwanga,
But ilikuwa 2018.