2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,361
- 6,080
- Thread starter
- #61
Mie ninawasiwasi kua wewe ndio haujui. Unaonyesha Tamaa ya kutaka Ueleweke vile unavyotaka, ili kwamba ujisikie comfortable in your own skin.Pili Quran haikuandikwa kwa kINGEREZA; jARIBU KUTAFUTA tAFSIRI YA Kiswahili; Ukishindwa Rudi kwenye Original yake ya Kiarabu. Na dio maana Qurani hairuhusiwi kuandikwa kwa lugha isiokua ya kiarabu. Kitabu chochote kikitafsiriwa kwenye zaidi ya moja hakiwezi kuwa sawa na Original - Ndio maana unapotafsiri Quran unatakiwa uandike "Allah aalam" kua Mungu pekee ndio anaejua alikusudia nini binaadamu unaweza kukosea
Japokua mimi sio mtaalamu wa lugha ya kiswahili. Naskia kuna fasiri na tafsiri.
"Tafsir" maana yake. "Ni maana".
Jambo linaweza kuandikwa kiarabu lakini likapata "Neno" lenye maana sawasawa kwa lugha nyingine kama kiingereza. Na kwakua linakubalika kwa waislamu wanaozungumza kiingereza. Na kwakua wanaofanya kazi ya kutafsiri ni haohao waislamu wenyewe. The blame should be theirs.
Mtu yeyote atakayesema Muhammad ni Mtu Mweusi ni Lazima auwawe. Lakini ukisema hivyo kwa Allah hakuna atakayejali hata kukuchapa viboko. Just the tip of an iceberg.
#THE PRAISED ONE