Schizophrenia ni nini?

Ndugu yangu namuamini sana YESU kuwa yupo lkm imani yangu kivingine kabisa sababu nilipokuwa na hiyo vission nilikuwa natembezwa umbali mkubwa sana kwa miguu kule spain na sauti kichwani mda wote ilikuwa inaniambia kuwa nisijari yeye ni yesu cha ajabu nilikuwa nasikia maumivu makali sana kichwani kiasi cha kwamba nilikuwa namuomba MUNGU aniondolee icho kitu km kilikuwa ni kibaya kwangu . Kuna siku akanitokea YESU mwenyewe ktk mazingira anayotamburika ya Mzungu lkn cha ajabu nilipomfuata kutaka anisaidie alinikana katu katu kitu ambacho nilikishangaa sana . Sababu tangu nipo huko TZ nimekulia ktk mazingira ya kikristo tangu mdogo nilikuja kushangaa YESU kunikataa kunisaidia wkt najuwa YESU ktk istoria ya maisha yake uwa akatai mtu . Kwaiyo naamini yesu lkn naamini kuwa alikuwa mweusi na kipindi kile cha 06/06/2006 ndo alitakiwa aje akiwa km mtu mweusi kuukomboa ulimwengu lkn wazungu wamemkataa kw sababu wanazozijuwa wenyewe au nikizisema sijui nani ataamini . Kwaiyo basi napokea maombi yenu ikiwa km kweli mtafanya hivyo ,asante !
Biblia inasema Mat 11:28-30 "Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao nakulemewa na mizigo, nami nitawapunzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni raini na mzigo wangu ni mwepesi." Kulingana na maelezo uliyotoa hayaendani kabisa na maandiko haya, yeye YESU KRISTO MNAZARETHI ALIYE HAI nira yake ni nyepesi sidhani kuwa huyo ni yeye labda ni bandia. Ua una hallucinate kwa kweli ndio maana ukasema una schizophrenia sikatai. Mchango wangu ni kwamba nenda kwa watumishi wa Mungu walio karibu nawe watakuongoza; Ahsante.
 
naitaji ufafanuzi zaidi kuhusu hii kitu, pls!
kwanza kuwa honesty kwa maswali yafuatayo
1.wewe ni Ras?
2.umewai tumia bangi kwa kiasi kikubwa?
3.imani yako ni ipi na spiritually kitabu kinachokuongoza ni kipi?
4.kabla hiyo sauti ulikuwa unapambana na changamoto gani kiuchumi na kimahusiano?
5.kipi kilichokuhamisha spain kwenda germany?
 
Hapana sikuwa ras hapo zamani nimekulia ktk mazingira ya ukristo lkn baada yakunitokea haya mambo nauamini uras japokuwa sina rasta stahili yangu ni upara tu tangu huko TZ. Hapana bangi sijawahi kutumia ila nilikuwa natumia sana hashish . Imani yangu ilikuwa ya kikristo na kitabu kinachoniongoza ni biblia lkn baada ya mambo haya imani yangu inalegea kidogo kwa kanisa lkn kwa yesu ipo. Nilipokuwa huko TZ sikuwa nayo hii sauti nilipoanza jitiada za kutafuta maisha na kuja huku ulaya kwa kuzamia meli nikawa pale spain naishi nawatu tofauti wa kiafrika ktk nyumba moja kiupendo sana km ndugu kuna siku nikampata rafiki wa kiGHANA ambae nilimshangaa sana kwa tabia yake nzuri ambayo sikuifananisha na mtu yeyote yule kabla yake cha ajabu kabla ya haya mambo kunitoke yeye alikuwa ananiambia kuwa JAPHETHY ktk huu mwaka wa 2006 kuna kitu kikubwa sana kitatoke baadae kidogo ndo nikaja kupata haya maono na sauti kutoka JUANI. Nilihama spain sababu maisha yalikuwa magumu sana na nilipofika huku nilipokuja kutamburika kuwa nna hiyo wanayoisema schizophrenia basi wakaniambia kuwa haina ruhusa kurudishwa TZ ntapewa vitamburisho na kufanya kazi hapa . Asante ndugu kwa hayo majibu nategemea utayafanyia kazi vizuri !
 
Jahface kotto

Kv upo ughaibuni nilitarajia kusikia kutoka kwako mambo mema zaidi kuhusu hili jambo na ndio maana nilikimbilia kuifungua hii thread! Kinyume chake ni kama naanza kukata tamaa!

Kuna mtu wangu wa karibu ambae ana tatizo ambalo binafsi naamini ni hilo (unajua tena Waafrika tunaamini mambo mengi).

Niwie radhi, sina maana kwamba wewe huteseki na hilo tatizo lakini naweza kudiriki kusema wazi kwamba, ikiwa unaweza kuandika yote haya basi inawezekana heri yako kuliko huyo mtu! Jamaa anateseka to the point ukimuona mtu unaweza kukufuru na kusema bora uumwe ngoma ujue moja kuliko tatizo la huyu Mheshimiwa! Jamaa ndugu zake wote wa karibi; I repeat, WA KARIBU ndio anaona maadui zake! Assume una mke ndo unaona huyo ndo chanzo cha maradhi yako... assume una kaka au dada; au hata mwanao lakini unaona hao ndio chanzo cha matatizo yako to the point hutaki kabisa wawe karibu na wewe au waje nyumbani kwako-- utasaidiwa vp hapo! Ukikaa nae hata dakika moja, atakutuhumu unamcheka au atadai ameona kuna mtu hapo na kuhoji anataka nini... atasema hayo wakati mpo wawili tu... mkatalie basI! Most of time ana-hallucinate!

Hivi sasa nimekuwa nikijaribu ku-research ikiwa hili tatizo unaweza kupata ufumbuzi in developed countries lakini cjapata tangible inputs! Kwahiyo ndugu yangu, ikiwa utapata at least inputs kwamba hili tatizo linaweza kuwa handled pande za huko, please let me know manake the guy anateseka sana. Na si kwamba nakutisha au I don't care what you're facing lakini ikiwa tatizo lenyewe ndo hilo bado naamini halijakutengua sana vinginevyo hata huko ughaibuni ingekuwa umesharudi zamani! Kwahiyo wakati bado una access na huko, jitahidi huko huko upate ufumbuzi wakati bado una ufahamu wa kwenda hospitali manake itafika wakati utaona hao Wazungu ndo chanzo! I hate to say this but the truth ni kwamba, hapo hakuna cha 666, Muhammad wala Yesu... you're just hallucinating!

Ukipata any helpful info, please let me know! Hapa JF utapata tu contributions kama zangu ambazo unaweza hata ku-Google but real help utapata huko huko!! Ukirudi Tanzania utaishia kupelekwa kwa Masheikh, Wachungaji, Waganga wa Kienyeji n.k but trust me, you'll get no real help from none of them na wala USITHUBUTU kukufuru kwamba huwezi kwenda kwa hao wote; DON'T... I know this problem very much hata kama ninayeumwa sio mimi!
 
Sawa ndugu nimekuelewa lkn kwanza ujue nimeishi na ili tatizo kwa miaka mingi sana na matatizo unayosema dugu yako anayo nimepitia yote hayo kiasi chakwamba sasa hivi imebaki sauti tu na kama nikiwa karibu ya mtu kimaongezi au kulala kuna uingiliano wakutaka kutambuana kispiritualy lkn inapotokea hali hiyo kweli wote uwa tunatambuana kispiritualy aliekuwa na spirity mbaya zaidi kumzidi mwezie uwa anatamburika kwaiyo nnavyofanya mm ni uvumilivu kuendelea kuwa na huyo mtu kimaongezi au kulala kwa kifupi ni ESHIMA. Kuhusu huyo rafiki ako ambae unasema analo hilo tatizo jaribu kumfuatili chanzo cha hilo tatizo amelipataje na ukijuwa chanzo niambie mi ntakwambia afanye nn ! Kuna vyanzo viwili tu kuwa na hii hali uvutaji wa bangi na ashishi au kulogwa km mnavyoita huko . Sasa basi kwa wanaopata hii hali kwa kuvuta bangi au ashishi ambyo ni kilevi cha kuvuta chenye asili ya kiarabu ambacho kinatengenezwa kw kuchanganywa na bangi wengi waho kwa nnavyoamini mm uwa kwao si ugonjwa ni baraka moja kubwa sana kwao kutoka kwa MUNGU ni baraka ambayo mambo yake mungu aliokujalia kuwa nayo wengi hawayawezi . Na pia kwa wale wanaopata hali hii kwa kulogwa pia kwao ni baraka pia sababu yote maisha ispokuwa anakuwa anajuwa mambo ambayo km mnavyojuwa wengine hawayatambui kwaiyo mtu km uyo akitaka atulie na kutengamana tena na jamii inabidi atafute mganga mzuri sababu hilo tatizo halina hospital ni la kispiritualy. Kwa wanaolipata kwa njia ya kuvuta basi wajitaidi kuacha kuvuta kwani ukiipata hiyo hali kwa njia ya kuvuta kama nilivyosema ni baraka uwa unafumbuliwa macho na kutambua siri zote za serikali zote hapa ulimwenguni jinsi zinavyoongoza ulimwengu na nn kizuri ambacho wao awafanyi yaliokusudiwa na MUNGU ndo maana inakatazwa . Sasa basi km uliipata hii hali kwa njia ya kuvuta na ukijihisi hii hali inakuumiza ni bora uache kuvuta na utakuwa afadhari kidogo kama nilivyo lkn ndugu hapo mwanzo nimeteseka zaidi. Kumbuka upendo wa MUNGU wa kweli hakubariki kabisa hapa DUNIANI kwahiyo watu km mm uwa tunateseka sana lkn ni mateso ambayo baadae utaishi milele hivyo ndio tunavyoamini ss wenye schizophrenia sana sana kwangu binafsi sababu nimeoneshwa kimaono baada kifo nakwenda wapi . Jua hivi ndugu yangu spirity hizo hizo mnazoziita nyinyi mbaya huku ndo zinatumika kufanya ugunduzi wa mambo mengi na amini amini nakwambieni sababu zinazosababisha watu weusi waletwe huku kwa wingi au ata ktiwa tamaa ya kuja huku aziwezi kuisha mpaka pale mtakapojitambua sababu wazungu wanawataka sana nyinyi muwalinde kispiritualy na kiuchumi pia . Kila MUAFRICA SANA SANA WATANZANIA tunaspirity moja kubwa sana ya ugunduzi wa kimahalifa . Najuwa mambo mengi sana lkn nimenuna ndugu yangu sababu watu hapa ulimwenguni hawafundishiki wabishi sana na kila mtu anataka kujifanya anajuwa sana kwaiyo nimenuna sababu najuwa ata nikiongea ktk public watu watachukulia masihara hamna mtu atakaefanya ntakayokusudia yafanye sababu huu sio utani ni ukweli wa kuna jambo la mfumo mpya wa maisha ambao nimepewa na nimeambiwa ni seme lkn pia nimepewa ruhusa ya kutoongea kwasababu zilizopo mpaka atakapokuja BABA MUNGU MWENYEWE .

KWAIYO MCHUNGUZE RAFIKIAKO KM KWELI NI SCHIZOPHRENIA BASI AMEIPATAJE AFU NTAKUPA USHAURI ,ASANTE !
 
Usijali wala usiogope, usinywe dawa ya aina yoyote kwa hiyo issue.....kuwa na imani ya hali ya juu na mtafute mtu mwenye positive mind...sijui unafanya kazi gani au unasoma wapi, lakini jaribu kufanya meditation ...maana mponyaji wako ni wewe mwenyewe..si ugonjwa huo bali kuna mafunuo fulani utayapata ni kwa ajili yako tu kwanza... fanya mazoezi yako, kula balance diet na endelea kujisikiliza...usijidhuru wala usidhuru mtu mwingine! mkumbuke babu wa kikombe..ile ilikuwa kwa ajili yake tu, lakini akaita umati, usifanye hivyo. MWENYE ENZI MUNGU akuongoze
Usijari ndug nilitaka kujuwa watanzania mnalichukuliaje hili swala lkn nimeona mpo wawili humu mnaofahamu kuhusu hili swala. Lkn ndugu kiukweli hapo mwanzo wakati sijajitambua vizuri nilikuwa natumia dozi kitu ambacho najihisi wazungu wamearibu kidogo baadhi ya nguvu zangu .
 
dawa zake zina side effect mbaya sana..including to commit suicide, nightmare n.k. MWENYE ENZI MUNGU akulinde...
 
Jahface kotto

Kv upo ughaibuni nilitarajia kusikia kutoka kwako mambo mema zaidi kuhusu hili jambo na ndio maana nilikimbilia kuifungua hii thread! Kinyume chake ni kama naanza kukata tamaa!

Kuna mtu wangu wa karibu ambae ana tatizo ambalo binafsi naamini ni hilo (unajua tena Waafrika tunaamini mambo mengi).

Niwie radhi, sina maana kwamba wewe huteseki na hilo tatizo lakini naweza kudiriki kusema wazi kwamba, ikiwa unaweza kuandika yote haya basi inawezekana heri yako kuliko huyo mtu! Jamaa anateseka to the point ukimuona mtu unaweza kukufuru na kusema bora uumwe ngoma ujue moja kuliko tatizo la huyu Mheshimiwa! Jamaa ndugu zake wote wa karibi; I repeat, WA KARIBU ndio anaona maadui zake! Assume una mke ndo unaona huyo ndo chanzo cha maradhi yako... assume una kaka au dada; au hata mwanao lakini unaona hao ndio chanzo cha matatizo yako to the point hutaki kabisa wawe karibu na wewe au waje nyumbani kwako-- utasaidiwa vp hapo! Ukikaa nae hata dakika moja, atakutuhumu unamcheka au atadai ameona kuna mtu hapo na kuhoji anataka nini... atasema hayo wakati mpo wawili tu... mkatalie basI! Most of time ana-hallucinate!

Hivi sasa nimekuwa nikijaribu ku-research ikiwa hili tatizo unaweza kupata ufumbuzi in developed countries lakini cjapata tangible inputs! Kwahiyo ndugu yangu, ikiwa utapata at least inputs kwamba hili tatizo linaweza kuwa handled pande za huko, please let me know manake the guy anateseka sana. Na si kwamba nakutisha au I don't care what you're facing lakini ikiwa tatizo lenyewe ndo hilo bado naamini halijakutengua sana vinginevyo hata huko ughaibuni ingekuwa umesharudi zamani! Kwahiyo wakati bado una access na huko, jitahidi huko huko upate ufumbuzi wakati bado una ufahamu wa kwenda hospitali manake itafika wakati utaona hao Wazungu ndo chanzo! I hate to say this but the truth ni kwamba, hapo hakuna cha 666, Muhammad wala Yesu... you're just hallucinating!

Ukipata any helpful info, please let me know! Hapa JF utapata tu contributions kama zangu ambazo unaweza hata ku-Google but real help utapata huko huko!! Ukirudi Tanzania utaishia kupelekwa kwa Masheikh, Wachungaji, Waganga wa Kienyeji n.k but trust me, you'll get no real help from none of them na wala USITHUBUTU kukufuru kwamba huwezi kwenda kwa hao wote; DON'T... I know this problem very much hata kama ninayeumwa sio mimi!

NAMI...National Alliance on Mental Illness....www.namimaine.org ...ni ya marekani.
 
Sawa ndugu nimekuelewa lkn kwanza ujue nimeishi na ili tatizo kwa miaka mingi sana na matatizo unayosema dugu yako anayo nimepitia yote hayo kiasi chakwamba sasa hivi imebaki sauti tu na kama nikiwa karibu ya mtu kimaongezi au kulala kuna uingiliano wakutaka kutambuana kispiritualy lkn inapotokea hali hiyo kweli wote uwa tunatambuana kispiritualy aliekuwa na spirity mbaya zaidi kumzidi mwezie uwa anatamburika kwaiyo nnavyofanya mm ni uvumilivu kuendelea kuwa na huyo mtu kimaongezi au kulala kwa kifupi ni ESHIMA. Kuhusu huyo rafiki ako ambae unasema analo hilo tatizo jaribu kumfuatili chanzo cha hilo tatizo amelipataje na ukijuwa chanzo niambie mi ntakwambia afanye nn ! Kuna vyanzo viwili tu kuwa na hii hali uvutaji wa bangi na ashishi au kulogwa km mnavyoita huko . Sasa basi kwa wanaopata hii hali kwa kuvuta bangi au ashishi ambyo ni kilevi cha kuvuta chenye asili ya kiarabu ambacho kinatengenezwa kw kuchanganywa na bangi wengi waho kwa nnavyoamini mm uwa kwao si ugonjwa ni baraka moja kubwa sana kwao kutoka kwa MUNGU ni baraka ambayo mambo yake mungu aliokujalia kuwa nayo wengi hawayawezi . Na pia kwa wale wanaopata hali hii kwa kulogwa pia kwao ni baraka pia sababu yote maisha ispokuwa anakuwa anajuwa mambo ambayo km mnavyojuwa wengine hawayatambui kwaiyo mtu km uyo akitaka atulie na kutengamana tena na jamii inabidi atafute mganga mzuri sababu hilo tatizo halina hospital ni la kispiritualy. Kwa wanaolipata kwa njia ya kuvuta basi wajitaidi kuacha kuvuta kwani ukiipata hiyo hali kwa njia ya kuvuta kama nilivyosema ni baraka uwa unafumbuliwa macho na kutambua siri zote za serikali zote hapa ulimwenguni jinsi zinavyoongoza ulimwengu na nn kizuri ambacho wao awafanyi yaliokusudiwa na MUNGU ndo maana inakatazwa . Sasa basi km uliipata hii hali kwa njia ya kuvuta na ukijihisi hii hali inakuumiza ni bora uache kuvuta na utakuwa afadhari kidogo kama nilivyo lkn ndugu hapo mwanzo nimeteseka zaidi. Kumbuka upendo wa MUNGU wa kweli hakubariki kabisa hapa DUNIANI kwahiyo watu km mm uwa tunateseka sana lkn ni mateso ambayo baadae utaishi milele hivyo ndio tunavyoamini ss wenye schizophrenia sana sana kwangu binafsi sababu nimeoneshwa kimaono baada kifo nakwenda wapi . Jua hivi ndugu yangu spirity hizo hizo mnazoziita nyinyi mbaya huku ndo zinatumika kufanya ugunduzi wa mambo mengi na amini amini nakwambieni sababu zinazosababisha watu weusi waletwe huku kwa wingi au ata ktiwa tamaa ya kuja huku aziwezi kuisha mpaka pale mtakapojitambua sababu wazungu wanawataka sana nyinyi muwalinde kispiritualy na kiuchumi pia . Kila MUAFRICA SANA SANA WATANZANIA tunaspirity moja kubwa sana ya ugunduzi wa kimahalifa . Najuwa mambo mengi sana lkn nimenuna ndugu yangu sababu watu hapa ulimwenguni hawafundishiki wabishi sana na kila mtu anataka kujifanya anajuwa sana kwaiyo nimenuna sababu najuwa ata nikiongea ktk public watu watachukulia masihara hamna mtu atakaefanya ntakayokusudia yafanye sababu huu sio utani ni ukweli wa kuna jambo la mfumo mpya wa maisha ambao nimepewa na nimeambiwa ni seme lkn pia nimepewa ruhusa ya kutoongea kwasababu zilizopo mpaka atakapokuja BABA MUNGU MWENYEWE .

KWAIYO MCHUNGUZE RAFIKIAKO KM KWELI NI SCHIZOPHRENIA BASI AMEIPATAJE AFU NTAKUPA USHAURI ,ASANTE !
Shukrani kwa maelezo yako!
Kwanza huyu jamaa sio rafiki bali ni ndugu kabisa! Tangu tatizo lifahamike ni miaka 18 sasa!!

Tatizo la huyu Mheshimiwa mimi ndie wa kwanza kulifahamu. Kwanza alikuwa Sweden masomoni! Aliporudi; alirudi kimya kimya lakini cku hiyo hiyo aliyowasili niligundua kitu kisicho cha kawaida cuz' hata nilipomsalimia hakuitikia vizuri! Na ingawaje tulikuwa wawili tu lakini hapakuwa na maongezi kabisa kati yetu kv hakuwa cooperative! Yaani mtu aliyekuwa nje ya nchi kwa takribani mwaka mmoja, anarudi lakini hana kabisa interest ya kujua ikiwa home pako salama!

Nilikuwa naishi nae nyumba moja ONLY two of us! Siku ya pili tangu arejee ndipo nilishituka cuz' wakati akiwa toilet nikamsikia akiwa anaongea peke yake kwa sauti akimlaumu Mungu kwamba kwanini asichukue tu uhai wake kabisa badala ya kumtesa! Maongezi makubwa yalikuwa ndo hayo kwamba anateseka na ni bora amuue tu! Hata akiwa chumbani peke yake maongezi yake yalikuwa ndo hayo... na angeweza kuongea hata zaidi ya dakika 15 akilalamika anateseka na hivyo afadhali amuue tu!

Hayo yalitokea chini ya 24 tangu awasili!

By the time I was just a young boy ambae nisingefanya chochote zaidi ya ku-foward tatizo kwa wazee! Ilichukua takribani miaka 3 yule bwana ku-admit kwamba ni mgonjwa! Sehemu ya kwanza kutua ilikuwa Muhimbili-- walimpatia dawa gani cfahamu lakini zilimtengua vibaya sana hizo dawa! Ikawa akikaa anavuja mimate tu kama kuku mwenye mdondo-- hata kuongea akawa hawezi!

Baada ya muda akaanza kupata hallucinations na hivi sasa imefikia kiwango cha juu kabisa! Kimsingi, ana hallucinations za aina 3... kusikia, kuona na ku-feel! Anaweza ku-feel vitu vinamtembea mwilini wakati hakuna kitu chochote! Anaweza kuona kitu au mtu yupo mbele yake wakati yupo peke yake... same kwenye kusikia!

CAUSE ya tatizo lake ni ngumu kufahamu! Remember, si mtu ambae unaweza kukaa nae akakuambia full story! Kwake yeye ndugu zake wa karibu ndio maadui zake! Anaamini zaidi watu baki kuliko ndugu zake wa karibu! Kutokana na hilo, there's no way mtu yeyote kutoka kwenye familia yetu sisi anaweza kumuuliza ilianzaje tatizo lake halafu akamjibu... sana sana atasema mnauliza ili mkaniue kabisa ili mrithi mali ( hili jibu nilipa probability ya 90%)!

Hadi sasa, hospital keshaenda... kwa Masheikh keshapita na hadi kwa Wachungaji kote huko kavuruga!

Kwamba source ya tatizo inaweza kuwa drugs I DON'T THINK! Huyu bwana hata sigara maishani mwake haijui! Na kabla ya hili tatizo alikuwa ni mtu wa Sala 5... in short hakuwa mtu wa hovyo hovyo! Alikuwa ni mtu mwenye elimu yake na kazi yake mzuri tu!
 
dawa zake zina side effect mbaya sana..including to commit suicide, nightmare n.k. MWENYE ENZI MUNGU akulinde...
Sasa kama ndivyo ina maana ukipata huu ugonjwa unakufa nao! Mbona ugonjwa wenyewe hauvumiliki!!!
 
666??????? Dah! Mkuu Ungelikuwa Bongo Basi Tungelikupeleka Sumbawanga Ukafanyiwe Tambiko!!
Na Ungelikuwa Zanzibar Basi Tungelikupeleka Kwa Tabibu Akakusomea Ruqya (Aya Za Qur-an)!
Mkuu Huyo Ni Shetani tu Anataka Kukupoteza Kwani Shetani Anayokawaida Ya Kukusababishia Hallucinations Sasa Tafuta Tiba Za Kumuondosha Shetani Basi Nakuahidi Utafanikiwa.
Wazungu Hao Huwa Hawaamini Meshati Kuwa Anaweza Kuleta Madhara, Kwahiyo Watakuzinguwa na Mana Hakuna Maabara Ya Kumjua Shetani.

Ila ukweli ni Kwamba Unayeshetani Anakuzingua.
Sasa kama ndivyo ina maana ukipata huu ugonjwa unakufa nao! Mbona ugonjwa wenyewe hauvumiliki!!!

Hapana inategemea....
 
Schizophrenia ni ugonjwa wa akili ambao huathiri jinsi watu wanavyofikiri, wanavyoona, wanavyohisi au wanavyoielewa dunia inayowazunguka. Dalili za msingi za schizophrenia ni hallucination(kuona au kusikia vitu amabavyo havipo katika mazingira ya kawaida mfano kuona kitu ambacho mtu mwingine hakioni/hakipo).

Kwa kawaida, dalili huwa zinagawanywa katika makundi mawili; dalili chanya na dalili hasi.

Dalili chanya ni hallucination, kushindwa kupangilia mazungumzo/mazungumzo yasioeleweka pia kushindwa kupangilia tabia/tabia zisizoeleweka. Tabia hasi ni kushindwa kuzungumza, kujitenga, kutokuwa hisia.

Pia wagonjwa wa schizophrenia huweza kuwa na huzuni au furaha kupita kiasi isiyoeleweka. Hakuna kipimo cha maabara kinachoweza kupima km una Schizo. Ili daktari aweze kusema kuna listi ya tabia/dalili za schizo huwa nazo na ukiwa na dalili 2 au zaidi kwenye hizo basi wewe utakuwa na schizophrenia na dalili hizo lzm ziwepo kwa miezi 6 au zaidi..

Matibabu yapo ila inashauriwa kutoanza na dawa kwanza ila phychosocial support ndo msaada... Dawa kama clozapine husaidia tatizo kutojirudia!!
Mkuu, ingawaje mie sio mtaalamu, kuna ndugu wa karibu ambae natoa uwezekano wa 75% kwamba huo ndo ugonjwa wake... ana visual, auditory and tactile hallucinations! Hizo tabia za kuona, kusikia na ku-feel(touch) vitu ambavyo havi-exist ni miaka nenda rudi sasa!

Sasa swali langu ni ikiwa huu ugonjwa unatibika! If YES, unaweza kunipa full info? Manake hili tatizo linamsumbua sana mwanafamilia!
 
schizophrenia is a long-term mental disorder of a type involving a breakdown in the relation between thought, emotion, and behaviour, leading to faulty perception, inappropriate actions and feelings, withdrawal from reality and personal relationships into fantasy and delusion, and a sense of mental fragmentation.

labda tujue history yako, hii husababishwa na social problems mara nyingi, ugumu wa maisha kuwaza sana unajikuta unapata hili tatizo. watu wengi wana schizophrenia haswa kwa sasa ingawa viwango vinatofautiana. Kuwa na hasira sana, kuwaza kujiua, kuua kinyama, kutukana ovyo nk

kama awali ulikuwa na msongo wa mawazo yawezekana fika ukaona mauza uza katika ulimwengu wako na sio reality. kama unamepitia haya unahitaji counselling ya nguvu na Karibu kubadili akili yako.

kama sio mtu ambaye amepata social problem or any disaster yawezekana ni spiritual problem. Itakubidi utafute viongozi wa dini wakakuombea labda ulipata attack spiritually

wajua ukweli take action
 
Shukrani kwa maelezo yako!
Kwanza huyu jamaa sio rafiki bali ni ndugu kabisa! Tangu tatizo lifahamike ni miaka 18 sasa!!

Tatizo la huyu Mheshimiwa mimi ndie wa kwanza kulifahamu. Kwanza alikuwa Sweden masomoni! Aliporudi; alirudi kimya kimya lakini cku hiyo hiyo aliyowasili niligundua kitu kisicho cha kawaida cuz' hata nilipomsalimia hakuitikia vizuri! Na ingawaje tulikuwa wawili tu lakini hapakuwa na maongezi kabisa kati yetu kv hakuwa cooperative! Yaani mtu aliyekuwa nje ya nchi kwa takribani mwaka mmoja, anarudi lakini hana kabisa interest ya kujua ikiwa home pako salama!

Nilikuwa naishi nae nyumba moja ONLY two of us! Siku ya pili tangu arejee ndipo nilishituka cuz' wakati akiwa toilet nikamsikia akiwa anaongea peke yake kwa sauti akimlaumu Mungu kwamba kwanini asichukue tu uhai wake kabisa badala ya kumtesa! Maongezi makubwa yalikuwa ndo hayo kwamba anateseka na ni bora amuue tu! Hata akiwa chumbani peke yake maongezi yake yalikuwa ndo hayo... na angeweza kuongea hata zaidi ya dakika 15 akilalamika anateseka na hivyo afadhali amuue tu!

Hayo yalitokea chini ya 24 tangu awasili!

By the time I was just a young boy ambae nisingefanya chochote zaidi ya ku-foward tatizo kwa wazee! Ilichukua takribani miaka 3 yule bwana ku-admit kwamba ni mgonjwa! Sehemu ya kwanza kutua ilikuwa Muhimbili-- walimpatia dawa gani cfahamu lakini zilimtengua vibaya sana hizo dawa! Ikawa akikaa anavuja mimate tu kama kuku mwenye mdondo-- hata kuongea akawa hawezi!

Baada ya muda akaanza kupata hallucinations na hivi sasa imefikia kiwango cha juu kabisa! Kimsingi, ana hallucinations za aina 3... kusikia, kuona na ku-feel! Anaweza ku-feel vitu vinamtembea mwilini wakati hakuna kitu chochote! Anaweza kuona kitu au mtu yupo mbele yake wakati yupo peke yake... same kwenye kusikia!

CAUSE ya tatizo lake ni ngumu kufahamu! Remember, si mtu ambae unaweza kukaa nae akakuambia full story! Kwake yeye ndugu zake wa karibu ndio maadui zake! Anaamini zaidi watu baki kuliko ndugu zake wa karibu! Kutokana na hilo, there's no way mtu yeyote kutoka kwenye familia yetu sisi anaweza kumuuliza ilianzaje tatizo lake halafu akamjibu... sana sana atasema mnauliza ili mkaniue kabisa ili mrithi mali ( hili jibu nilipa probability ya 90%)!

Hadi sasa, hospital keshaenda... kwa Masheikh keshapita na hadi kwa Wachungaji kote huko kavuruga!

Kwamba source ya tatizo inaweza kuwa drugs I DON'T THINK! Huyu bwana hata sigara maishani mwake haijui! Na kabla ya hili tatizo alikuwa ni mtu wa Sala 5... in short hakuwa mtu wa hovyo hovyo! Alikuwa ni mtu mwenye elimu yake na kazi yake mzuri tu!
Sawa ndg nimekuelewa ! Je alikuwa kwa mda gani huku sweeden masomoni ? Sababu hii schizophrenia ni tatizo ambalo unalipata kwa njia mbili nilizozisema mwanzo kulogwa kwa huko nyumbani km mnavyojuwa nyinyi , kuvuta ,na kupandikizwa kwa huku ulaya ndo kulogwa huko kwa huku ! Sasa basi spirity inayomsumbua mtu mwenye schizophrenia mwanzo mwanzo ni spirity moja ya kiislam inaitwa JIHN SUPERNATURE ni spirity ambayo kiukweli sio mbaya ni spirity yenye nguvu za uumbaji na mambo kadhaa w kadhaa ambayo wazungu ndo wanaitumia kiuundaji vitu . Na iyo spirity kila muafrica anayo mwilini . (SAMAHANI NGOJA NIINGIE DEEP KISPRITUALY KWANZA ! ) sasa basi kila muafrica anaeingia ulaya lazima utumike kispiritualy kulingana na uwezo wa nguvu ya spirity yako kuwanufaisha wazungu automatical, na unapokuja kuwatambua km wanakutumia wanakuchanganya kabisa unakuwa km chizi na kukuzushia hii kitu inayotamburika ni schizophrenia na kuona baadhi ya hayo mambo ya ajabu na sauti nk. Kumbuka ulivyoniambia huyo ndg yako alikuwa ni mtu wa swala 5 nimegundua kwamba kwake ilikuwa raisi sana kuwa na matatizo hayo kwa huku ulaya sababu uislam ndo unaongoza ulimwengu kwa siri huku wazungu wakitumia nguvu za msahafu ambayo ndo hiyo spirity kuunda vitu na kujifichia km muamvuri wkt pia spirity hiyo hasili yake africa .
Sasa basi kwa wenye hilo tatizo kuna njia moja tu yakufanyishwa uwe afadhari kidogo lkn sio kupona nayo ni BWANA YESU nikimaanisha maombi ktk kwa waumini waaminifu wa yesu.
Tatizo hilo halina tiba ispokuwa yesu anauwezo wakufanyisha awe afadhari kidogo na kumuachia baadhi ya hali fulani imbane ili asiongee ongee mambo aliyoyaona . HIYO NDO DAWA KM ILO TATIZO KATOKA NALO HUKU !

sababu mi nilikuwa hivyo ndg na zaidi labda ya hivyo mpaka nikatokewa na yesu akanisaidia na nikapigwa naJUA kwenye paji langu la uso na hapo ndipo nilipokuja kuipata sauti lkn sauti yangu sasa imekuwa km mlinzi hainisumbui lkn nimebanwa kidogo nisiseme yote niliyoyaona .

Kwaiyo km ni schizophrenia na anasauti kichwani huyo ni mtu wa MUNGU NA NI YESU TU ATAKAE MSAIDIA ! sababu iyo spirity ni kubwa mno na ni islam na niambayo MUNGU anataka kuja kuibadirisha kutokana na sheria zake ngumu za unyanyasaji ,mauaji na nk . Sasa basi atapona akifanyiwa maombi kwa jina la YESU nae atapata nafuu sababu YESU WA KWELI NI MTU MWEUSI NA ISLAM YA KWELI NI MTU MWEUSI KWAIVYO ATAPONA KM ILO TATIZO KATOKA NALO HUKU .

LKN KWA KWELI HAMNA DAWA ZA KUPONYESHA HILO TATIZO !
HAMNA BINADAMU WAKAWAIDA ANAEWEZA KUONA NAKUSIKIA ,KAMA TUKIPONA INAOGOPWEKA UWENDA TUTAONGEA TULIYOYAONA ! NARUDIA TENA KM AANAVUTA AACHE KUVUTA , NA KAMA NI TATIZO LA(KUPACHIKWA )KULOGWA MPELEKE MAOMBINI USIJARI JPKWA LABDA NYINYI NI WAISLAM . asante nafikiri umenielewa kidogo !
 
Hakuna hichi Kitu →→→ "JIHN SUPERNATURE" Ndani ya Uislamu, usiseme uongo! Schizophrenia ni Ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine na yapo kwa watu wa dini zote na sio Uislamu tu! Usitake kuleta Udini Hapa, Ni bora tu ukamshauri Aende MENTAL HOSPITAL na sio Kumpotosha eti anatumiwa na wazungu.
 
hii hali ni inside out...uponyaji wake na siyo outside in... ni MWENYE ENZI MUNGU anaweza kumtoa mtu mwenye hali hii... nawatakia kila la kheri...kuweni na imani kubwa...maana kwa IMANI tunashinda!
 
Hakuna hichi Kitu →→→ "JIHN SUPERNATURE" Ndani ya Uislamu, usiseme uongo! Schizophrenia ni Ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine na yapo kwa watu wa dini zote na sio Uislamu tu! Usitake kuleta Udini Hapa, Ni bora tu ukamshauri Aende MENTAL HOSPITAL na sio Kumpotosha eti anatumiwa na wazungu.
Tatizo nyi wabishi ndo maana mnakosa hata maendeleo na huu ubishi wenu sio nyny tu TZ ni waafrica wote . Naongea kitu ambacho nasikia kutoka kichwani nacho kilikuwa ndo huyo anatamburika ni kmJIHN SUPERNATURE ambae ni 666 lkn kwangu siamini kama ni JIHN. lkn YESU ameniponya kidogo na kunificha nisiseme mambo mengine mengi zaidi ambayo ni siri kubwa za mbinguni na duniani. Lkn km ukitaka udhibitisho wa kimaandishi pia , nenda kagoogle ISLAM 666 utakuta mambo mengi zaidi tofauti ktk kwa watu na ni kitu ambacho kinanifanya hata mm nisiamini kama huyo ni JIHN kutoka na hisia tofauti za watu . Naamini sauti yangu kuliko maandiko sababu ulimwengu wa leo vitu vyote vimebadirishwa. Lkn km ww unabishwa sikulahumu sababu najuwa unafunzwa na watu wanaopeleka ulimwengu bidubidu . UKWELI NI .. MUNGU MKUU yupo ndani ya JUA naye ni 666 naye ndo ALLAH siye JIHN kama alivyobadirishwa na watu hapa DUNIANI . Ispokuwa basi km spirity yake ya ukweli ikikupata ni vigumu kuishi hapa Duniani sababu upendo wa MUNGU hakubariki hapa . Kwaiyo watu kama hao wanaponywa na yesu sababu YEYE mwenyewe ALLAH anataka kumleta YESU kuja kubadirisha sheria ngumu za dini nyingine sana sana UISLAM . Kumbuka ktk reality YESU HAWAPRESENT WAZUNG ,WALA MUHAMAD KWA WAHARABU .mambo yote kuhusu dini yakweli na watu wa kweli yalibadirishwa tangu za mani pale tu shetani alipoingia white race .

Chamuhimu nenda kagoogle ISLAM 666 au CHIZOPHRENIA WITH 666 km unawahamini watu wako hao wanaokufundisheni kimaandishi na utaona !

Sio kuhusu udini hapa mi sipo ktk upande wa dheebu lolote sababu dini zote ni moja na nguvu ya UISLAM ndo inaongoza hapa duniani lkn nyuma ya pazia wanajifanya wapo tofauti kuwapotosha watu waliowengi ambao bado hawajafunguliwa macho na kusikia sauti ya MUNGU . HAO WAZUNGU NA WAHARABU ,AU NISEME WHITE RACE YOTE NI MASHETANI KWA KUUPOTOSHA ULIMWENGU . Mentaly zetu adi za watoto wao wamezitia evil spirity kuchukia ngozi nyeusi . Wazungu hawapendi weusi hii ni hali halisi kwao na baadhi ya weusi hawaupendi weusi pia lkn hii sio hali halisi kwetu tumepandikizwa hii chuki .

Pia ukitaka kuamini mi ni nani na si taip yako bro nenda katafute docomentry ya beutyfull mind ya JOHN NASH yeye pia alikuwa na schizophrenia na anakwambia I HAD COMONICATION FROM IN THE HEAVEN . yani alikuwa na mawasiliano kutoka mbinguni .

YESU ANATAKA KUJA KUBADIRISHA UONGOZI MBAYA WA KILIMWENGU KUHUSU KISPIRITUALY ADI PHYZICAL . HAPA SIO UDINI WOTE WAMOJA NA HATA AKIJA BADO UTAKUWA MWANA WA MUNGU TU SABABU WEWE SIO RESPONSIBLE YA YOTE YANAYOITWA MABAYA ULIOYAFANYA !

kingine . Wazungu wengi wanajijua na wanatambua ukweli sasa basi wengi wao hawaamini hata huyo mungu wanakwambia wanaamini in NATURE au UNIVERSE .

KAGOOGLE !!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom