Schizophrenia ni nini?

Schizophrenia is an severe mental disease which it's source is unknown ,, this disease is characterized by presence of the common symptom which is hallucinations
~Is an severe=~is a severe,~which is hallucinations=~which are hallucinations
 
Usijali wala usiogope, usinywe dawa ya aina yoyote kwa hiyo issue.....kuwa na imani ya hali ya juu na mtafute mtu mwenye positive mind...sijui unafanya kazi gani au unasoma wapi, lakini jaribu kufanya meditation ...maana mponyaji wako ni wewe mwenyewe..si ugonjwa huo bali kuna mafunuo fulani utayapata ni kwa ajili yako tu kwanza... fanya mazoezi yako, kula balance diet na endelea kujisikiliza...usijidhuru wala usidhuru mtu mwingine! mkumbuke babu wa kikombe..ile ilikuwa kwa ajili yake tu, lakini akaita umati, usifanye hivyo. MWENYE ENZI MUNGU akuongoze
 
Ndugu yangu kwa nini usikae chini na kuaza kuandika kitabu hayo maona utakuwa umesaidia dunia vitu vingi sana, Mimi naomba uhaze kuandika kitabu kutoka mwanza mpaka sasa hivi unaweza kubadilisha dunia hayo maona yake, kumbuka kitabu cha Ufunuo yohan aliandika katika mazingira gani. Hutakapo Fanya hivyo ni rahisi sana kusaidia .
 
666??????? Dah! Mkuu Ungelikuwa Bongo Basi Tungelikupeleka Sumbawanga Ukafanyiwe Tambiko!!
Na Ungelikuwa Zanzibar Basi Tungelikupeleka Kwa Tabibu Akakusomea Ruqya (Aya Za Qur-an)!
Mkuu Huyo Ni Shetani tu Anataka Kukupoteza Kwani Shetani Anayokawaida Ya Kukusababishia Hallucinations Sasa Tafuta Tiba Za Kumuondosha Shetani Basi Nakuahidi Utafanikiwa.
Wazungu Hao Huwa Hawaamini Meshati Kuwa Anaweza Kuleta Madhara, Kwahiyo Watakuzinguwa na Mana Hakuna Maabara Ya Kumjua Shetani.
Ila ukweli ni Kwamba Unayeshetani Anakuzingua.
 
Asante nashukuru ndg! Lkn je hili tatizo linahusiano wowote na spirity na km ndio spirity yake ni mbaya au nzuri?

Sababu pia nimejaribu kufuatilia jinsi watu wanavyoliongelea hili tatizo kwenye google nimekuta watu wanalizungumzia kwa hisia tofauti wengine wanasema hii sauti niliokuwa nayo ni ya Allah yaani MUNGU kwa waislam na wengine wanasema ni Jini supernature ambae anapatikana kwenye msahafu na anatambulika kwa alama zake za namba 666 ambazo kwa kulingana na maono yangu hapo mwanzo ni ilikuwa 06/06/2006.

Na pia ndugu niliendelea kufuatilia na wengine wanasema kuwa Yesu Kristo na mtume Muhammad nao inasemekana walikuwa na schizophrenia. Afu istoshe kwenye hayo maono yangu nilikuwa najihisi kama Yesu na kuona kuwa ulimwengu mzima unanisujudia na kila upande yaani wa wazungu na waarabu na watu wa mataifa yote wakinigombania.

Pia iyo sauti kichwani inaniambia kuwa yeye ni MUNGU wa 666 ambapo pia nikifikilia nguvu zote za watu wanaouongoza huu ulumwengu ni wanatumia nguvu za 666 ambazo wapo watu wengine wanasema ni BLACK POWER na wapo wengine wanasema ni BLACK magic .

Pia nishawahi kusikiliza docomentry moja ya Bob Marley alikuwa amesema kila muaminifu ambae anakubalika kwa MUNGU lazima anatakiwa awe na sauti kichwani inaongea nae kila wakati. Pia ktk history ya ibaada ya kikristo ya SUNDAY nasikia walikuwa wanamuabudu MUNGU wao enzi hizo wakiamini kuwa yupo ktk JUA .

Sasa swali linakuja, ikiwa Tanzania inasemekana ni sehemu ambapo fuvu la binadamu wa kwanza lilipopatikana, huoni kuwa labda MUNGU anataka uokovu wa ulimwengu utokane na mtu fulani kutoka Tanzania?

Kwa kweli najielewa afu sijielewi kutokana na mengi yanayozungumzwa na watu kuhusu hii 666 ikiambatanishwa na hii sauti!

Naomba ushauri wa mwisho na mniambie mimi nitakuwa ni mtu wa aina gani, sababu najua humu kwenye JF kuna watu wanavichwa saana pia! Niambieni bila ya woga jamani wa kusema huenda mkanitisha.

Asanteni.
swala la imani lina tofauti sana ndo maana neuroscientists hupata wakati mgumu kuelezea...kwa uono wa kisayansi katika ubongo kuna sehemu ambayo baadhi ya neuroscientist(wataalamu wa mfumo wa fahamu) wanaiita GOD'S SPOT, Kutokana na maendeleo ya sayansi ya akili, katika majaribio kutumia neuroimagining waliweza kuona kuwa kwa kundi la watu wanaoamini dini sana baadhi ya sehemu katika ubongo wao zilisisimuliwa na maneno ya dini(maneno yanayomhusu Mungu/imani) na kushindwa kusisimuliwa na maneno ya kawaida hata ya kimapenzi(sexual arousing words) hali hii haikutokea kwa watu wa kawaida. Basi wakaita hizo sehemu kama God's spot japo bado kuna ubishano kama kweli kuna sehemu hizo. ukipata muda google God's Helmet(experiment which was used to test the link between spirituality and religion)

kuhusu hallucination na dini, katika science huwa inaaminika huwezi kupata hallucination ya kitu ambacho hukiamini au hujawahi kuskia mfano maono mengi ya kiimani km kutokewa na bikra maria hutokea maeneno yale wanaoamini bikra maria anaweza kutokea mtu. Vivyohivyo kwa vitu kama kutokewa na mizimu hutokea sana maeneo ambayo watu wanaamini uwepo wa mizimu.Hata katika ibada kuongea kwa lugha hutokea kwenye makanisa yanayoamini kunena kwa lugha.
Imani ni complex sana kwa mwanadamu kuifafanua ndio maana hakuna hitimisho kwamba huu kuhusu ukweli.
Cha muhimu ni kuheshimu kila mtu anachoamini
 
Hongera kaka umejarbu kuelezea vzr hallucination.

ktk hili jamaa kweli kuna baadhi ya tabia n za schizophrenia na nmeona pia ana religion delusion hapo ktk swala lake hilo la pili

nafikiri inabid awe na clinic ya psychiatric inaweza kumsaidia
 
Usijali wala usiogope, usinywe dawa ya aina yoyote kwa hiyo issue.....kuwa na imani ya hali ya juu na mtafute mtu mwenye positive mind...sijui unafanya kazi gani au unasoma wapi, lakini jaribu kufanya meditation ...maana mponyaji wako ni wewe mwenyewe..si ugonjwa huo bali kuna mafunuo fulani utayapata ni kwa ajili yako tu kwanza... fanya mazoezi yako, kula balance diet na endelea kujisikiliza...usijidhuru wala usidhuru mtu mwingine! mkumbuke babu wa kikombe..ile ilikuwa kwa ajili yake tu, lakini akaita umati, usifanye hivyo. MWENYE ENZI MUNGU akuongoze

Ukisoma psychiatric babu Wa loliondo ni mgonjwa Wa akili nae
 
Ukisoma psychiatric babu Wa loliondo ni mgonjo Wa akili nae
hahahahha in psychiatry ht ukiwa mzima tukikukamata tukakupeleka hospitali mara nyingi hawawezi kukosa diagnosis ya ugonjwa wa akili.....yaani ht ukiamua kukaa kimya ni diagnosis, ukifurukuta tukuachie ni diagnosis pia
 
Asante nashukuru ndg! Lkn je hili tatizo linahusiano wowote na spirity na km ndio spirity yake ni mbaya au nzuri?

Sababu pia nimejaribu kufuatilia jinsi watu wanavyoliongelea hili tatizo kwenye google nimekuta watu wanalizungumzia kwa hisia tofauti wengine wanasema hii sauti niliokuwa nayo ni ya Allah yaani MUNGU kwa waislam na wengine wanasema ni Jini supernature ambae anapatikana kwenye msahafu na anatambulika kwa alama zake za namba 666 ambazo kwa kulingana na maono yangu hapo mwanzo ni ilikuwa 06/06/2006.

Na pia ndugu niliendelea kufuatilia na wengine wanasema kuwa Yesu Kristo na mtume Muhammad nao inasemekana walikuwa na schizophrenia. Afu istoshe kwenye hayo maono yangu nilikuwa najihisi kama Yesu na kuona kuwa ulimwengu mzima unanisujudia na kila upande yaani wa wazungu na waarabu na watu wa mataifa yote wakinigombania.

Pia iyo sauti kichwani inaniambia kuwa yeye ni MUNGU wa 666 ambapo pia nikifikilia nguvu zote za watu wanaouongoza huu ulumwengu ni wanatumia nguvu za 666 ambazo wapo watu wengine wanasema ni BLACK POWER na wapo wengine wanasema ni BLACK magic .

Pia nishawahi kusikiliza docomentry moja ya Bob Marley alikuwa amesema kila muaminifu ambae anakubalika kwa MUNGU lazima anatakiwa awe na sauti kichwani inaongea nae kila wakati. Pia ktk history ya ibaada ya kikristo ya SUNDAY nasikia walikuwa wanamuabudu MUNGU wao enzi hizo wakiamini kuwa yupo ktk JUA .

Sasa swali linakuja, ikiwa Tanzania inasemekana ni sehemu ambapo fuvu la binadamu wa kwanza lilipopatikana, huoni kuwa labda MUNGU anataka uokovu wa ulimwengu utokane na mtu fulani kutoka Tanzania?

Kwa kweli najielewa afu sijielewi kutokana na mengi yanayozungumzwa na watu kuhusu hii 666 ikiambatanishwa na hii sauti!

Naomba ushauri wa mwisho na mniambie mimi nitakuwa ni mtu wa aina gani, sababu najua humu kwenye JF kuna watu wanavichwa saana pia! Niambieni bila ya woga jamani wa kusema huenda mkanitisha.

Asanteni.
Wewe huna schizophrenia wala nn unamaksudi yako.
 
Sawa ntatafuta ufumbuzi kwa watu wa imani ,lkn pia nilishawahi kutafuta na nikawa nakwenda kanisani lkn cha ajabu pindi tunapokuwa tumesimama katika ibaada basi yeyote yule aliekuwa mbele yangu awe mwanamke au mwanamme sehemu yangu ya siri uwa inadinda na kujihisi km nafanya mapenzi na yule mtu wambele yangu cha ajabu zaidi yule mtu aliekuwa mbele yangu uwa anashtuka nakunigeukia kwa kuniangalia kwa ishara km anajuwa nn kinachoendelea . Sasa basi kwa sababu hiyo imenifanya niache kabisa kwenda kwenye majumba ya ibaada . Iyo uwa inanitokea pia mitaani vile nikiwa km natembea kwenye umati wa watu . Au nirudi bongo ndugu zangu nije kujari tiba za waganga wa jadi ?
 
Wadau naomba mnifahamishe nataka kujiua. Schizophrenia ni nini na wanatambulika vipi watu waliokuwa nayo hapa duniani?

Mnamo tarehe 06/06/2006 nilipata maono nikiwa kule UESPANYA. Maono ya REVELATION. Na baada ya hayo maono kuna siku nilokuwa nimekaa kwenye PARK fulani nikiwa naota JUA kama ilivyokuwa desturi ya watu tunaoishi huku.

Nikiwa nimekaa kwenye bench naota JUA huku nikiwa naliangalia ghafla nikajihisi kitu nisichokijua bila ya kukiona kikitoka ndani ya JUA na kunipiga kwenye paji langu la uso na kujihisi km kimefumua kwa nyuma kwenye kisogo, kisha wkt huo huo nikaanza kusikia sauti ikoongea nami toka ndani ya JUA ikiniambia kuwa yeye ni MUNGU mkubwa mwenye namba 666 na amependezwa nami, kwahiyo kuna kitu anataka niuambie ulimwengu. Kwa kweli nilishangaa sana tukio hilo!

Sauti iliniambia mambo mengi kwakweli siwezi kuyaelezea hapa yote. Baada ya hapo hiyo sauti ikawa inanitokea kila mara lakini safari hii hiyo sauti ikawa naisikia kutoka ndani ya kichwa changu sio kutoka nje. Yaani sio km mfano wa kusikia sauti kutoka kwa mtu unaeongea nae, hapana, hiyo sauti nilikuwa safari hii nasikia ndani ya kichwa changu.

Baadae nikaja kusafiri na kwenda kuishi Ujerumani na sasa hivi nna miaka kumi tangu niwe na hilo tatizo cha ajabu ile sauti bado nnayo tu.

Nimejaribu kwenda hospitari lkn bila ya vipimo kwa kusikiliza maelezo yangu tu wakaniambia kuwa nna hiyo SCHIZOPHRENIA. Sasa basi bado najiuliza ni nini hiyo SCHIZOPHRENIA, na kama ni ugonjwa, je kuna uwezekano mtu kupata ugonjwa toka ndani ya JUA? Na cha ajabu madoctor wameniambia kuwa nisimwambie mtu yeyote kuhusu hili tatizo.

Tafadhali waungwana naomba mnishauri nifanye nini ili hii sauti initoke kichwani maana naona wazungu wameshindwa. Pia naumia sana sababu sauti inaniambia mambo mengi ambayo mengine hayapaswi hata kutambulika kwa binaadamu anaendelea kushi hapa duniani!

Asanteni natumaini mtanisaidia!

Ningekushauri utafute filamu ya a beutiful mind ambayo inahusu maisha ya John Nash ambaye alikuwa ni Mwanahisabati mzuri sana na Nobellaureate wa uchumi, huyu John Nash alikuwa na schizophrenia, ni filamu nzuri sana na itakupa mwanga zaidi kuhusu hii hali au huu Ugonjwa!
 
Ningekushauri utafute filamu ya a beutiful mind ambayo inahusu maisha ya John Nash ambaye alikuwa ni Mwanahisabati mzuri sana na Noellaureate wa uchumi, huyu John Nash alikuwa na schizophrenia, ni filamu nzuri sana na itakupa mwanga zaidi kuhusu hii hali au huu Ugonjwa!
Ok sawa nashukuru ntaitafuta iyo film ndugu !
 
Yesu kristo ndiye tabibu wa kweli ukiamini kuwa anaponya hakika atakuponya hilo nitatizo dogo sana kwake, kumbuka kuwa anakuponya kulingana na kiwango cha Imani yako. Tutazidi kukuombea kwake naye sikio lake siyo zito atakusikia.
 
Ni Uchizi au Wendawazimu. Wale unaowaona majalalani ni mfano wao Jahface kotto
Ndo maana sijataka kuingia kichwa kichwa humu JF sababu najuwa wabongo wengine kavu kweli amuuliziki na amfundishiki . Nilijuwa tu lkn nnamambo mengi na kama ningeanza kwa kuyaongea humu mtu km wewe na wengine wa mfano wako mngebisha sana . Situmii vitabu vya wazungu kuuutambua ukweli km ulivyo ww labda na wengine mi naambiwa kwa kila kitu kinachoendelea hapa ulimwenguni kupitia iyo sauti sema vitabu na maandishi inayoyaona ktl mitandao kuhusu tatizo langu uwa yananipa ushuuda tu ya kuwa mm ni nani ! Ispokuwa nataka kujaribu tu kusikia kutoka upande wenu wa swahili ndugu zangu je manalichukulia vp ili tatizo kabla sijaanza kuja bongo kutumbua majibu ! Lkn naona we bado kabisa you ont know nothing !
 
Yesu kristo ndiye tabibu wa kweli ukiamini kuwa anaponya hakika atakuponya hilo nitatizo dogo sana kwake, kumbuka kuwa anakuponya kulingana na kiwango cha Imani yako. Tutazidi kukuombea kwake naye sikio lake siyo zito atakusikia.
Ndugu yangu namuamini sana YESU kuwa yupo lkm imani yangu kivingine kabisa sababu nilipokuwa na hiyo vission nilikuwa natembezwa umbali mkubwa sana kwa miguu kule spain na sauti kichwani mda wote ilikuwa inaniambia kuwa nisijari yeye ni yesu cha ajabu nilikuwa nasikia maumivu makali sana kichwani kiasi cha kwamba nilikuwa namuomba MUNGU aniondolee icho kitu km kilikuwa ni kibaya kwangu . Kuna siku akanitokea YESU mwenyewe ktk mazingira anayotamburika ya Mzungu lkn cha ajabu nilipomfuata kutaka anisaidie alinikana katu katu kitu ambacho nilikishangaa sana . Sababu tangu nipo huko TZ nimekulia ktk mazingira ya kikristo tangu mdogo nilikuja kushangaa YESU kunikataa kunisaidia wkt najuwa YESU ktk istoria ya maisha yake uwa akatai mtu . Kwaiyo naamini yesu lkn naamini kuwa alikuwa mweusi na kipindi kile cha 06/06/2006 ndo alitakiwa aje akiwa km mtu mweusi kuukomboa ulimwengu lkn wazungu wamemkataa kw sababu wanazozijuwa wenyewe au nikizisema sijui nani ataamini . Kwaiyo basi napokea maombi yenu ikiwa km kweli mtafanya hivyo ,asante !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom