Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,357
Hiyo shule ulikariri?..Hili napingana na wewe...80kph ya vitz haiwezi kuwa sawa na 80kph ya bus ...atakupita tu hata iweje
Hiyo shule ulikariri?..Hili napingana na wewe...80kph ya vitz haiwezi kuwa sawa na 80kph ya bus ...atakupita tu hata iweje
Juzi hapa nilisafiri na huyu mnyama freightliner hatari sana,kwanza masaa machache ya kwanza ya safari ndani ya gari nilikua na eargasm za kutosha . Sijawahi ona gari ambayo inajibu gears kama hii, nilikua natamani Mimi ndiye niwe dereva wa hii mashine .Gearbox ni Eaton Fuller heshima kwao.Bahati mbaya video imegoma ku-upload.View attachment 1197146View attachment 1197147
Kwa mfano truck za kisasa kama Scania ziko kimya sana kama gari ndogo,gia zinaingia kimya .Hiyo truck inapiga chafya mpaka kwenye gia lever,anavo change gia kuna sauti maalum inatoka kwenye eidha engine au Gearbox. Natumai maelezo yamejitosheleza kidogo.Unaposema, "inajibu gears" unamaanisha nini?
Sema unapenda yale makelele.Kwa mfano truck za kisasa kama Scania ziko kimya sana kama gari ndogo,gia zinaingia kimya .Hiyo truck inapiga chafya mpaka kwenye gia lever,anavo change gia kuna sauti maalum inatoka kwenye eidha engine au Gearbox. Natumai maelezo yamejitosheleza kidogo.
sema mnyama huyu ana shda ya stering rod juz kat kitonga nusu achochore but no wa kufata hapoHuu Moto hatariView attachment 1193145
Hahahaha kumbe kucheua? Automation iko sambamba na umeme ndio maana gari nyingi zimeachana na kucheua, kucheua kuna baki kwenye mabreki tuKwa mfano truck za kisasa kama Scania ziko kimya sana kama gari ndogo,gia zinaingia kimya .Hiyo truck inapiga chafya mpaka kwenye gia lever,anavo change gia kuna sauti maalum inatoka kwenye eidha engine au Gearbox. Natumai maelezo yamejitosheleza kidogo.
Yeah ni kweli ila mwisho wa siku ni utunzaji tu check yutong f12 & f12+ za abood Bado mbichi kabisa
Ni kama Mimi kipindi nipo Dar nilikuwa napenda kusikiliza milio ya coaster za mbagala nimesahau majina yake ila zilikuwa na milio tofauti na coaster zinazopiga route nyingine. Zilipokuwa zinanipita nilikuwa nasimama kabisa kusikiliza milio yake.
113 iyo a.k.a . Macedonia ilikua inapiga dar moshi dar kila siku......View attachment 1195372
Mbichi zinaenda wapi mkuu?....hivi kuna Cumming yeyote inavuka boda? Mana naona kampuni karibia zoote za masafa marefu zinatumia scania.Yeah ni kweli ila mwisho wa siku ni utunzaji tu check yutong f12 & f12+ za abood Bado mbichi kabisa
Mbichi zinaenda wapi mkuu?....hivi kuna Cumming yeyote inavuka boda? Mana naona kampuni karibia zoote za masafa marefu zinatumia scania.
Mbichi zinaenda wapi mkuu?....hivi kuna Cumming yeyote inavuka boda? Mana naona kampuni karibia zoote za masafa marefu zinatumia scania.
Trinity inapiga dar-kigaliMbichi zinaenda wapi mkuu?....hivi kuna Cumming yeyote inavuka boda? Mana naona kampuni karibia zoote za masafa marefu zinatumia scania.
Si kwamba ninakukosoa.....ila naomba urudi kisoma tena kitu kinaitwa gear ratio....Unatafita ubishani tu! Unajua speed inasomwa kwenye nini? Pikipiki ukiiangalia imeandikwa speed meter inaenda hadi 120 unadhani hiyo 120 ni sawa na ya gari? Ukikaa kwenye gari iwe speed 120 ule upepo mwenye pikipiki angeweza kuhimili? Usidanganywe na maandishi wewe!! Speed inasomwa kwenye mzunguko wa gearbox so gari kubwa na ndogo hazifanani hilo tambua.. Nimeshaongozana sana na gari ndogo kwenye 50kph wakinifata mimi wanapigwa tochi na mimi nikifata 50 yao kwangu nakuwa 40kph au 44kph.. Ule mzunguko wa gearbox na tairi zikiwa kubwa itafanya mzunguko mmoja wa gari kubwa uwe tofauti na wa gari ndogo coz gearbox yake ndogo hadi tairi mzunguko ni mdogo, so tairi za scania ikienda mara 2 wewe itakubidi izunguke mara 3 ndo tutakuwa sawa maana yake kwenye kipimo cha speed utakuwa juu kuliko mimi mwenye gari kubwa... Ufahamu kuwa mimi nikiwa speed 110 ili unipite utatakiwa uwe zaidi ya 140 na gari yako
Mungu baba...Hili napingana na wewe...80kph ya vitz haiwezi kuwa sawa na 80kph ya bus ...atakupita tu hata iweje
Trinity dar-kigaliMbichi zinaenda wapi mkuu?....hivi kuna Cumming yeyote inavuka boda? Mana naona kampuni karibia zoote za masafa marefu zinatumia scania.
Dar lux dar nairobiTrinity inapiga dar-kigali
Kama kigezo ni kuvuka boda darlux, tahmeed, modern coast, trinity wote hao wanamichina inavukaMbichi zinaenda wapi mkuu?....hivi kuna Cumming yeyote inavuka boda? Mana naona kampuni karibia zoote za masafa marefu zinatumia scania.