Scania buses na Cummins buses ( Zhoungtong climber, yutong ect)

danielhipoliti

danielhipoliti

Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
81
Points
125
danielhipoliti

danielhipoliti

Member
Joined Jun 8, 2015
81 125
Dhumuni la hii mada ni baadhi ya upotoshaji au chumvi zinazowekwa na wanazi wa haya mabus kila mtu akivutia upande wake!

Ni ukweli usiopingika kwa ishu ya durability scania yupo vizur zaidi

Ila kuna baadhi ya vitu nahisi ni upotoshaji wa watu mfano Climber yenye top speed 140 km/hrs na scania yenye top speed 120km/hrs obviously Climber atakua mbele , number doesn't lies

Ingawa katika kesi ya kuchanganya kwa engine by means of rpm scania atawahi ku attain maximum speed compaired na Dongfeng Cummins

360 hP Cummins vs 310hP scania apa pia ni pa kupaangalia ingawa configuration of power and weight of body ina matter lakini kwa still scania anaonekana kuwa Bora zaidi ila bado numbers aziongopi!

Pia uwezo wa dereva unachangia kwa gari koonekana Bora ukitaka kudhibitisha Angalia Newforce golden deer za tunduma zinavo zipa shida scania ( majinja Kilimanjaro Express ect)

Au ilivo kwa alseid ya mbeya Na Saul ya mbeya !

Nawasilisha

Lete fact zingine ambazo unahisi ni za kweli ila watu wanapotosha kwa mapenzi Yao binafsi
 
Royal Son

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Messages
437
Points
1,000
Royal Son

Royal Son

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2016
437 1,000
Wewe umewasilisha lakini haujawa kuziendesha ila mimi nimeziendesha sana kwa uzoefu ni kwamba Engine za Cummins zipo aina 3 za china ndio hewa ila ukipata zenyewe za marekani au Austalia ziko bomba sana Ila hizi za China ni hewa kabisa Golden Dear zina 360 Hp lakin bado 310Hp zinamtesa sana sabb kwnye Muinuko zinasinzia kabisa hata kama ununue leo then Kilimanjaro nyingi ni P270 yaan HP 270 lakini bado hizo Cummins zinapata tabu mno
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
5,594
Points
2,000
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
5,594 2,000
Kwa mabasi ya China Zhong Tong anafanya vizuri sana sokoni Kulinganisha na Yutong, ila kwa china kubadilika ni jambo la kawaida sana ndaninya miezi 6 wanaweza kuja na model Mpya kabisa
 
danielhipoliti

danielhipoliti

Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
81
Points
125
danielhipoliti

danielhipoliti

Member
Joined Jun 8, 2015
81 125
Yeah ni kweli ila mwisho wa siku ni utunzaji tu check yutong f12 & f12+ za abood Bado mbichi kabisa

Pamoja mkuu! Ila izo scania zinatamba sna kitonga ila balaa huwa wanalipata
Wewe umewasilisha lakini haujawa kuziendesha ila mimi nimeziendesha sana kwa uzoefu ni kwamba Engine za Cummins zipo aina 3 za china ndio hewa ila ukipata zenyewe za marekani au Austalia ziko bomba sana Ila hizi za China ni hewa kabisa Golden Dear zina 360 Hp lakin bado 310Hp zinamtesa sana sabb kwnye Muinuko zinasinzia kabisa hata kama ununue leo then Kilimanjaro nyingi ni P270 yaan HP 270 lakini bado hizo Cummins zinapata tabu mno
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,006
Points
2,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,006 2,000
360 hP Cummins vs 310hP scania apa pia ni pa kupaangalia ingawa configuration of power and weight of body ina matter lakini kwa still scania anaonekana kuwa Bora zaidi ila bado numbers aziongopi!
Hapo hp wala isikuumize kichwa. Unachotakiwa kujua kwenye haya magari makubwa ni kitu wanaita torque. Unaweza kuta engine ya Scania ina hp chache lakini ina torque kubwa kuliko Cummins. So in principle, japo Cummins ina 360hp, Scania ya 310hp itakuwa na uwezo mkubwa hasa kwenye miinuko kuliko Cummins.

Nimecheki specs za hizo engines, wanasema:-
Scania 310hp 1550Nm za torque
Cummins 360hp 1085Nm za torque.

So hapo Scania lazima tu atoboe kwenye miinuko au wakiwa na mzigo. Ila kwenye plains, cummins anaweza kunyooka zaidi.
 
Heron

Heron

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
1,521
Points
2,000
Heron

Heron

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
1,521 2,000
Kuna Scania number A za Kilimanjaro ni mpya kuliko hizo za Abood number D.
Fuatilia kwanini Klm A inainekana kali kuliko Dar express C. Au abood
Kisha uje utupe mrejesho.
Klm wanajua wanachokifanya
 
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
6,986
Points
2,000
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
6,986 2,000
Yeah ni kweli ila mwisho wa siku ni utunzaji tu check yutong f12 & f12+ za abood Bado mbichi kabisa
Mwambie azipeleke Masafa ya Mbeya, Tunduma, Mwanza au Kahama kama zitaendelea kudumu yeye anafanya safari ya Dar-Moro gari haichakai haraka
 
Forum statistics

Threads 1,336,573
Members 512,661
Posts 32,543,979
Top