carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,272
ukweli magari ya sbjt mengi yamekwenda km nyingi, mpaka sasa sijaona wa kuwa-beat tradecarview kwa bei nafuu na uwingi wa magari!!
hao beforwad na sijui akina nani unakuta hata models nyingine za magari hakuna, lakini sijawahi kosa models yoyote ya gari tradecarview!!
uko sawa mkuu kuhusu trade carview! Hawa jamaa wana models nyingi na zinakuwa kwenye condition nzuri. Pia autorec nao wako vizuri sana kwenye magari yao.