dorge JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 235 Reaction score 365 Apr 26, 2025 #1 Ndg Zang Hata watoto sik hiz hawaambiwi hii sayari imeemda wapi. Miulize mtoto kama.wanaandikiwa hii sayari. Je imeenda wapi
Ndg Zang Hata watoto sik hiz hawaambiwi hii sayari imeemda wapi. Miulize mtoto kama.wanaandikiwa hii sayari. Je imeenda wapi
Saa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6,500 Reaction score 12,833 Apr 26, 2025 #2 Tafsiri ya kupotea ni kutokujua kitu hicho muda kilipo. Maana kama watu watajua kilipoenda maana ake hakija potea bali kimehama.
Tafsiri ya kupotea ni kutokujua kitu hicho muda kilipo. Maana kama watu watajua kilipoenda maana ake hakija potea bali kimehama.