NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 11,362
- 25,908
enheeDuniani kuna nguvu mbili zinatucontrol wanadamu.
enheeDuniani kuna nguvu mbili zinatucontrol wanadamu.
Asante, kwa kutoa dukuduku lako na pia naelewa lugha iliyotumika hapa kwenye uzi ni ngumu na ya kitaalamu zaidi, ntajaribu kukufafanulia kwa lugha rahisi hili watu wengi waweze kuelewa kilichoandikwa.ambao ni bongolala kama mimi hakuna tulichokielewa hapa hata lengo la mtoa post bado sijalielewa nimeona tu mablaa blaa ambayo sijui hata yanalenga ku portray nini
Sasa huyu Mchawi anatoa ishara gani kikawaida. Mana mm niliwahi kugombana na mtu siku ya pili nikafukuzwa kazi Kenge yuleAsante, kwa kutoa dukuduku lako na pia naelewa lugha iliyotumika hapa kwenye uzi ni ngumu na ya kitaalamu zaidi, ntajaribu kukufafanulia kwa lugha rahisi hili watu wengi waweze kuelewa kilichoandikwa.
Ninazungumzia uwepo wa ulimwengu zaidi ya mmoja tunao-ufahamu katika eneo hili hili moja tunaloishi, yaani kuna dunia ambayo tunaishi sisi (inayoonekana) pia kuna ulimwengu mwingine wanaoishi viumbe vya kiroho wa nuru (malaika) na wa gizani (majini/mapepo) usioonekana.
Viumbe malaika wa mwangaza wao utoa ushirikiano kwa mtu anayewaomba kwa dhati pasipo mikataba umiza wakati wale wa gizani kila wanachokutendea kina malipo yake na kwa kuwa njia pekee ya kumtawala binadamu ni kumiliki tamaa ya moyo wake basi wanaitumia vyema kama silaha ya kumchapia mshirikina.
Mchawi akishajiingiza katika mikataba ya kichawi basi atamtumikisha jini kumfanyia lolote lile alitakalo kipindi akiwa hai na anao mwili na jini atafanya kila kitu ila pindi akishaupoteza mwili kwa maana ya kufa basi anageuzwa mtumwa na lile jini na atamtumikia jini uyo na uzao wake.
Ndiyo maana kuna neno kurithishana mikoba au kutoa kafara na sadaka kwa mizimu ya ukoo (hiyo mizimu inayotamkwa ndiyo hao majini wenye maagano na mchawi) na wasipotimiziwa mahitaji yao uendelea kuandama ukoo huo kizazi hata kizazi.
Hiki ndicho umfanya mchawi haogope mno suala la kufa kuliko kitu kingine chochote kile, na mara nyingi wachawi wengi uhakikisha wanaishi umri mrefu mno iwezekanavyo.
Na ufa uzeeni sana wakiwa vibibi au vibabu kizee na uepuka mno mazingira yanayoweza kuwafanya wakafa mapema ikiwemo anasa,kusafiri mara kwa mara,kupigana,n.k
Wao ujifanisha kuwa wapatanishi, wakarimu na watu wa watu, hawakosi kwenye nyumba za ibada na shughuli za kijamii na huwa ni watu wa kutegemewa na kuzungumziwa vizuri na kila mtu hii yote ni defence mechanism ili wasishtukiwe na kudhurika.
Pia wengi upendelea kuishi maisha ya kimaskini na asili, utumia sana tiba za mitishamba kujiagua, utafuta hirizi au kujiganga kiasi kwamba hata ikitokea akinasika hata apigwe vipi akati roho mpaka haitoe ile dawa ndipo afe kwa sababu anajua adhabu yake akishakufa na alishaiuza nafsi yake ni kimbembe.
Nadhani inatosha kwa hapo hayo mengine yaliyobakia hayaitaji ufafanuzi kwa kuwa yatazua taharuki za kiimani.
Uchawi ni sayansi ambayo inagawanyika katika aina kuu mbili yaani uchawi mweusi na uchawi mweupe.kwahiyo unaeza somea uchawi wa sayansi![]()
Mchawi hana ishara na kumtambua labda uwe na uwezo wa asili wa kutambua uchawi au na wewe huwe ni mshirikina vinginevyo simamia kile anachokiamini ili usitetereke.Sasa huyu Mchawi anatoa ishara gani kikawaida. Mana mm niliwahi kugombana na mtu siku ya pili nikafukuzwa kazi Kenge yule
Sasa mkuu Nina shida hapa Kuna mtu nahisi anakuja kuniwangia usiku. Natakiwa nifanyeje kumkomoa?Mchawi hana ishara na kumtambua labda uwe na uwezo wa asili wa kutambua uchawi au na wewe huwe ni mshirikina vinginevyo simamia kile anachokiamini ili usitetereke.
Kitendo tu chakutokunielewa tiyari umejaribu, hivyo nina imani ukiendelea kufuatilia mjadala utapata kitu.Mimi sijaelewa ulichoandika
nimepoteza muda wangu
Ni swali fikirishi kidogo kwa kuwa asiyejua chochote na wala ajayaishi maisha yake kwa kuchagua upande hana chakupoteza wala kuongeza pindi akifa,Hivi mwisho wa maamuma au watu wasiojua chochote kiroho, watu wasio wachawi wala wafanya ibada mwisho wao wakitoka mwilini huwa upande gani?
Ushetani upo na ni nguvu kubwa inayotawala pakubwa katika ulimwengu huu kama ilivyo nguvu ya Mungu, Mkanda unaotenganisha tawala hizi mbili ni mwembamba sana kiasi kwamba unaweza dhani unamtumikia Mungu kumbe unamwabudu na kumuhusudu shetani.Aiseeeeeee...nashangaa sana mtu anaposema kuwa SHETANI ni nadharia tu hayupo.!
Fafanua ni vitu gani sijavigusia kama vinaelezeka basi ntavisema.Mkuu kina vitu hujavisema,au na wewe ulikula kiapo????
"Elimu nyota" ni fumbo kumaanisha elimu ya muingiliano wa binadamu na majini (viumbe vya kiroho ambavyo havionekani kwa macho)Naona mkuu Kuna uhusiano mkubwa mnoo wa uchawi na elimu nyota. Hii Ina misingi ipi hasa kwenye mipango ya kuangamiza
Kuomba hao malaika wazuri unatumia njia gani?Asante, kwa kutoa dukuduku lako na pia naelewa lugha iliyotumika hapa kwenye uzi ni ngumu na ya kitaalamu zaidi, ntajaribu kukufafanulia kwa lugha rahisi hili watu wengi waweze kuelewa kilichoandikwa.
Ninazungumzia uwepo wa ulimwengu zaidi ya mmoja tunao-ufahamu katika eneo hili hili moja tunaloishi, yaani kuna dunia ambayo tunaishi sisi (inayoonekana) pia kuna ulimwengu mwingine wanaoishi viumbe vya kiroho wa nuru (malaika) na wa gizani (majini/mapepo) usioonekana.
Viumbe malaika wa mwangaza wao utoa ushirikiano kwa mtu anayewaomba kwa dhati pasipo mikataba umiza wakati wale wa gizani kila wanachokutendea kina malipo yake na kwa kuwa njia pekee ya kumtawala binadamu ni kumiliki tamaa ya moyo wake basi wanaitumia vyema kama silaha ya kumchapia mshirikina.
Mchawi akishajiingiza katika mikataba ya kichawi basi atamtumikisha jini kumfanyia lolote lile alitakalo kipindi akiwa hai na anao mwili na jini atafanya kila kitu ila pindi akishaupoteza mwili kwa maana ya kufa basi anageuzwa mtumwa na lile jini na atamtumikia jini uyo na uzao wake.
Ndiyo maana kuna neno kurithishana mikoba au kutoa kafara na sadaka kwa mizimu ya ukoo (hiyo mizimu inayotamkwa ndiyo hao majini wenye maagano na mchawi) na wasipotimiziwa mahitaji yao uendelea kuandama ukoo huo kizazi hata kizazi.
Hiki ndicho umfanya mchawi haogope mno suala la kufa kuliko kitu kingine chochote kile, na mara nyingi wachawi wengi uhakikisha wanaishi umri mrefu mno iwezekanavyo.
Na ufa uzeeni sana wakiwa vibibi au vibabu kizee na uepuka mno mazingira yanayoweza kuwafanya wakafa mapema ikiwemo anasa,kusafiri mara kwa mara,kupigana,n.k
Wao ujifanisha kuwa wapatanishi, wakarimu na watu wa watu, hawakosi kwenye nyumba za ibada na shughuli za kijamii na huwa ni watu wa kutegemewa na kuzungumziwa vizuri na kila mtu hii yote ni defence mechanism ili wasishtukiwe na kudhurika.
Pia wengi upendelea kuishi maisha ya kimaskini na asili, utumia sana tiba za mitishamba kujiagua, utafuta hirizi au kujiganga kiasi kwamba hata ikitokea akinasika hata apigwe vipi akati roho mpaka haitoe ile dawa ndipo afe kwa sababu anajua adhabu yake akishakufa na alishaiuza nafsi yake ni kimbembe.
Nadhani inatosha kwa hapo hayo mengine yaliyobakia hayaitaji ufafanuzi kwa kuwa yatazua taharuki za kiimani.
Vile vyenye kiapo mkuu??????Au ukula kiapo wewe kwenye ulimwengu ule???Fafanua ni vitu gani sijavigusia kama vinaelezeka basi ntavisema.
Kuomba hao malaika wazuri unatumia njia gani?
Na kwa nini uchawi haufanyi kazi kwenye vitu kama benki au vita?
juu ya 
Hivyo viapo unavyovitaka wewe ni sehemu ya siri za uchawi na tiyari nimeshagusia (wenda kama unataka nifundishe watu uchawi) kuwa hili uwe mchawi pale unapoudhuria kikao au cerebration ya kichawi unapatanishwa na jini utakaye mtumia kama kijakazi wako kwenye shughuli zako ziwe za kuwanga au kuagua ambaye utaingia nae maagano au mikataba ya kichawi.Vile vyenye kiapo mkuu??????Au ukula kiapo wewe kwenye ulimwengu ule???
Binadamu yeyote yule kama alivyo kiumbe hai wa namna yeyote yule kifizikia ana muda wa kuishi na kufa hata afanye nini.Mtu akifa roho yake inaenda wapi?? Hapo umesema mchawi ataenda kumtumikia jini wake, na asiekua mchawi??
Na anamtumikia huyo jini kwenye mambo yapi hasa??
Uchawi sio sayansi.Uchawi ni sayansi ambayo inagawanyika katika aina kuu mbili yaani uchawi mweusi na uchawi mweupe.
Uchawi mweusi ule wa kuwanga usiku na kutupia watu majini kuwatia mabalaa wengi wetu tunautambua kama ndiyo uchawi.
Lakini uchawi mweupe ule unaofanyika hadharani madhabahuni, unaofundishwa darasani kwenye masomo ya sayansi na biashara, matendo yenye nia ya kupumbaza akili au tahajudi n.k
Kwetu tunachukulia kuwa si uchawi bali sayansi au uwezo fulani tusio jua chanzo chake na tunavutiwa kuufanya uchawi huo pasipo kuhoji wala kuwa na mashaka nao.
Umegusia juu juu,wape watu experience in the day of taking oath inakuaje???Hivyo viapo unavyovitaka wewe ni sehemu ya siri za uchawi na tiyari nimeshagusia (wenda kama unataka nifundishe watu uchawi) kuwa hili uwe mchawi pale unapoudhuria kikao au cerebration ya kichawi unapatanishwa na jini utakaye mtumia kama kijakazi wako kwenye shughuli zako ziwe za kuwanga au kuagua ambaye utaingia nae maagano au mikataba ya kichawi.