Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,675
1. Ulimwengu unaoonekana una upande wa pili wa ulimwengu usioonekana kwa macho, kuna upande wa juu wa planes ambao umegubikwa na vitu na viumbe vya kiroho vizuri;
Plane ya chini ni giza lililotamalaki na lakutisha, haya ndiyo makazi ya roho chafu na mapepo chini ya kiongozi wao "The fallen Angel" Malaika Muasi na Malkia zake kumi.
2. Kwa kupitia sherehe za siri za kichawi inawezekana kuwasiliana na viumbe hivi visivyoonekana na kupata msaada wao katika baadhi ya shughuli za kibinadamu.
Viumbe roho wazuri kwa hiari utoa msaada kwa mshirika mwaminifu kwao, lakini zile roho ovu uwatumikia wale wanaoishi kupotosha na kukidhi tamaa.
3. Inawezekana kufanya makubaliano na hizo roho ambapo mtenda miujiza au mchawi kwa kipindi alichonacho huwa master (mmiliki/bosi) wa kiumbe husika.
4. Uchawi mweusi wa kweli utendeka kwa msaada wa roho za mapepo, ambao umsaidia mchawi kwa kipindi chote cha maisha yake ya hapa duniani, huku mchawi akitambua kuwa yampasa kumtumikia pepo wake huyo baada ya kifo chake kama mtumishi.
Kwa sababu hii mchawi atafanya kila awezalo ndani ya uwezo wake kuhakikisha kuwa anarefusha maisha yake ya hapa duniani kwa namna yeyote ile kwa kuwa yu anatambua kuwa hakuna chake tena akishachimbiwa kaburi.
Jambo kubwa na hatari zaidi katika UCHAWI ni ile sayansi yake yenye nguvu za upotoshaji wa kichawi kwa ajili ya kuridhisha TAMAA za mtu.
Katika hali rahisi kuelezea 'tamaa' kiulimwengu tuseme tu kuwa tunamaanisha UBINAFSI wa binadamu, kwani ubinafsi ndiyo msingi wa MAOVU yote yanayotokea duniani.
Mwanadamu yupo radhi kuiuza Nafsi yake mazima (Sacrifice) kwa ajili ya kupata nguvu ya muda (temporal power) na kwa miaka mingi hatua za mambo ya siri zimepigwa na kumwezesha binadamu huyu kuweza kufanya Necromancy (ufundi au uwezo wa kuongea na mizimu (ili kufahamu mambo ya baadae)) Witchcraft, Sorcery (uchawi) na Vampirism (uchawi wa kula nyama za binadamu na kunywa damu)
Bila kusahau pia mesmerism na hypnotism (mbinu za kupumbaza akili), isipokuwa tu zikitumika kwa minajili ya tiba hata hivyo pamoja na hilo bado kuna elementi za risk kubwa kwa anayejihusisha na jambo hilo.
Turudi katika ulimwengu wa mafunzo ya ushetani wa kisasa
katika kile kinachoitwa "prosperity" psychology (saikolojia ya mafanikio), "will power-building" metaphysics (kujenga nguvu ya dhamira itende katika metafizikia) na mifumo ya "high pressure" salesmanship (uuzaji wenye msukumo wa juu)
Kitendo cha kufanya miujiza iwe kupitia UCHAWI MWEUPE au UCHAWI MWEUSI inategemea zaidi uwezo wa umahiri katika kuongoza au kuzielekeza nguvu za maisha katika ulimwengu (controlling the universal life force) ambazo ujulikana pia kama "Great magic agent" au "Astral light "(mwale wa Astral)
Kupitia kughilibiwa/kudanganywa (manipulation) na haya majimaji (fluidic) ya ugiligili wa kiini (essence) ile hali (phenomena) ya kupita/kuvuka maumbile uzalishwa.
Kiumbe maarufu "hermaphroditic (kiumbe au mtu mwenye jinsia mbili ya kiume na ya kike)
Goat of Mendes (Baphomet) alikuwa ni kiumbe mchanganyiko anayeundwa kuashiria Astral light.
BAPHOMET- ni siri zilizojificha za wale wafuasi wa sherehe za miujiza, the templers, ambao nao waliutoa kwa WAARABU.
Uchawi mweusi umekuwa ukirithishwa kupitia njia ya metamorphosis (mabadiliko ya kiumbo au maumbile) na japo kuwa majina yake yamebadilishwa kulingana na muktadha na nyakati lakini asili yake imebaki kuwa kama ilivyo.