Sayansi ya kuishi vizuri na watu

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,480
40,488
Hata kama una pesa nyingi au mafanikio makubwa jaribu kutumia hii mbinu mojawapo ili uweze kuishi vizuri na watu, kujishusha na kujiweka sehemu ya jamii yao. Jaribu kuwakopa pesa ndogo ndogo wale wote uliowazidi kipato au mafanikio ili wao wajue huna tofauti nao n.k
 
Ukiishi kwa kuwaridhisha watu au kufanya kitu kulingana na watu wakisemacho bs utapata tabu sanaaaa. Ishi upendavyo Ila tu usimnyanyase mtu wala kumuonea mtu.
Inawezekana jamii yote ikuzungumzie wewe kwa mazuri tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…