chotarasukari Senior Member Joined Jan 6, 2013 Posts 110 Reaction score 23 May 8, 2016 #1 Habari zenu wadau.. Ninaomba msaada kujua kuhusu sayansi na uchawi. Je sayansi ni chimbuko LA uchawi? Na je sayansi ni uchawi ulioendelea. Nawakilisha
Habari zenu wadau.. Ninaomba msaada kujua kuhusu sayansi na uchawi. Je sayansi ni chimbuko LA uchawi? Na je sayansi ni uchawi ulioendelea. Nawakilisha