Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,416 Reaction score 3,048 Mar 24, 2012 #1 Sayansi na Teknolojia imepelekea kharamu kuwa halali: Angalia wazinifu kuitwa wapenzi. Kamari kuitwa Bahati Nasibu. Mganga kuitwa Fundi. Anaetembea uchi kuitwa Mrembo. Mfiraji kuitwa Basha.......endelea......
Sayansi na Teknolojia imepelekea kharamu kuwa halali: Angalia wazinifu kuitwa wapenzi. Kamari kuitwa Bahati Nasibu. Mganga kuitwa Fundi. Anaetembea uchi kuitwa Mrembo. Mfiraji kuitwa Basha.......endelea......
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,686 Mar 24, 2012 #2 Duh! Natafuta jukwaa la MMU jamani, naombeni kuelekezwa njia
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Mar 24, 2012 #3 kha! Makubwa!
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Mar 24, 2012 #4 Mwizi wa mali ya uma kuitwa mjanja. Fisadi serikalini kuitwa tajiri la Epa. Mlevi wa Mandrax, Cocaine kuitwa Mteja.
Mwizi wa mali ya uma kuitwa mjanja. Fisadi serikalini kuitwa tajiri la Epa. Mlevi wa Mandrax, Cocaine kuitwa Mteja.