Sayansi imethibitisha: Mwanamke huwa haridhiki kamwe

spleen

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
3,224
4,663
Huu ni mtego ambao wanaume wengi hua wanauingia kwa wanawake zao kwa kutaka kuwaridhisha kwa kila kitu ili waonekane wanapendwa zaidi na kutowasaliti kwenye mahusiano yao.

Lakini kwa bahati mbaya jinsi kiumbe "mwanamke" kilivyoumbwa kamwe hakiwezi kuridhishwa na mwanaume yeyote yule? Hivi jiulize swali dogo tu kama tunaumbwa na nywele, mtu juu ya nywele anaweka maplastiki, kama tuliumbwa weusi, mtu anajipaka makemikali yanayoharibu ngozi yenye kazi ya kupambana na magonjwa na kuzuia mwanga mkali wa jua ili tu aonekane mweupe?

Kama sifa kubwa ya binadamu ni kujistiri, kwa maana ya kuheshimu hisia za wenzetu lakini mtu yupo tayari atembee nusu uchi, bila kujali hisia za wenzake.

Je? Unadhani wewe mwanaume utaweza kumridhisha kiumbe wa aina hii?

Ona ni jinsi gani mwanamke hua haridhiki, kisayansi kabisa;

1. Anatomically
Mwanamke akishabalehe maungo yake na viungo vya uzazi huendelea kupanuka na kuwa vikubwa kwa kasi sana, hii ni tofauti na wanaume kuwa akishabalehe viungo vyake hubaki vile vile kama kukua basi ni kwa "speed" ndogo kweli kweli.

Sasa hali huwa tofauti pale anaposhika mimba, kutokana na ongezeko la hormones "estrogen" na "progesterone" zenye kazi za kutanua misuli na viungo vingine, ambapo mara nyingi binti akishika mimba huonekana kunenepa na hata akizaa uke wake hutanuka vya kutosha kupitisha mtoto, ambapo hata ukirudi baada ya kuzaa haumwi kama mwanzo "pre -pregnancy state".

Sasa wewe mwanaume jiulize mwanamke aliyeshika mimba mara 3 ama 4 ye huwaje kimaumbile?

Je kama uume kwa mwanaume hubaki vivo hivyo, wakati mwanamke maungo yake hutanuka, inawezekanaje umtosheleze mwanamke kama anavotaka yeye?
" unatwanga maji kwenye kinu"

2. Physiologically.
Kutokana na hormone nilizotaja hapo juu, utaona mishipa ya damu na viuongo vingine huongezeka kwa kasi ya ajabu, hapa namaanisha kabla ya ujauzito kama mwanamke alikua anaridhika nusu saa, baada ya ujauzito atataka kuridhika lisaa limoja, sio kama ni makusudi la hasha.

Uwezo wa mishipa ya damu kubeba "oxygen" huongezeka maradufu, uwezo wa mishipa ya fahamu hua "sensitive" mara dufu, na hisia nazo huongezeka maradufu. Ndio mana wataalamu wa mapenzi utawasikia wakisema mwanamke akizaa hua mtamu kimapenzi.Au wanawake wenyewe husema hamu inaongezeka baada ya kuzaa.

Sasa hali huwa mbaya zaidi akifika kwenye 35+ , hormones "progesterone" na "oestrogen" hupungua hali inayopelela uke kulegea, hapa ndio tunasikia zie kauli za mabwawa, "breki pumbu" sasa wakati we uume wako ni ule ule labda tangu umebalehe au kuongezeka tu kidogo, unawezaje kumridhisha mtu mwenye " anatomically weakness ya pelvic floors" and even "vagina muscles"?
Ndio mana wazee wa zamani karibia wote walikua wake zao wakifika 40+ anaongeza mke mwengine dogo dogo, walikua wana akili sana.

Sasa unakuta sisi tunajiongepea eti uwe na mke mmoja hadi kufa kwako? Yaani utajikuta hadi we mwenyewe binafsi hukubaliani na hii kauli. In short ni kujidanganya na kujipa mateso na commitments ambazo hazitekelezeki.Hata vitabu vya dini vinaelezea wakina suleiman na samson hawakuwa na mke mmoja.Sasa we na Mfalme Suleiman na Samson nani mtakatifu hadi uwe na mke mmoja?

3. Psychologically.
"Women is an emotional being"Yaaani mwanamke hua anaendeshwa kwa hisia.Ubongo wa mwanamke "cerebral cortex" yake ina high level ya kukalili vitu kuliko kuvielewa critically. Yaani logic and reasoning capacity ya mwanamke ni ndogo ukilinganisha na ya mwanaume.

Hapa ndio utakuta form four NECTA shule za wanawake zinaongoza kufaulu lakini ukija chuo kikuu kozi zinazohitaji reasonging na logic kubwa kama medicine na engineering wanawake wale wale walioongoza kuwa wa kwanza form four huwakuti huko, kama wapo basi ni wachache .

Sababu kubwa: Form four kuna kukariri sana, wakati chuo kuna ku-reasons na kutumia logic sasa turudi kwenye mada, psychologically mtu asiyetuma logic kwenye mambo yake hawezi kuridhika hata kidogo. Sababu kutokua na logic means ni kuwa emotional na emotions ndio sifa kubwa ya mwanamke .

Yaani unaweza kumnunulia mwanamke wako Volkswagen Touareg 0 Km akaiikataa akakuambia anahitaji Toyota passo ya pink ya mwaka 2009. Sababu kubwa ni kuwa wenzake wote ofisini labda wana passo used za 2000, so anataka awaoshee. Kitu ambacho ni nadra sana kufanywa na mtoto wa kiume.

Kama mwanaume especially kwa kijana epuka sana, usitumie nguvu, muda na mali, pesa eti kumridhisha mwanamke la hasha mwanamke kamwe haridhiki kwa" material things".Kama mwanaume jitahidi kujikomaza kisaikolojia uwe na uwezo mkubwa wa kujicontrolls emotional, kwani hapo ndipo akili za wanawake zilipolala. Yaani mwanaume wa kweli habembelezi mwanamke kizembe zembe yaani kosa afanye mwanamke halafu we ndio ubembeleze, hapa naamaanisha mwanaume yupo tayari avunje relations sekunde tu sababu anajua hata huyo mwanamke aolewe, mzigo atakula, why? Because he is emotionally matured to controls women emotions.

Mwanaume wa kweli haogopi mwanamke zile nyodo zake, maneno yake. Hua anasimamia anachokiamini, believe me hata wanawake sababu wao wapo weaks in "logic" hua wanapenda wanaume STRONG, ndio mana hata mwanaume uwe mdogo kiumri ama kiumbo ukiwa kwenye kundi la wanawake watakuita ili uwasaidie tatizo likitokea. ( labda mwizi, umeme kuzima, taa kuungua, gari kuharibka), sasa utashindwaje kuwasolvia vitu vingine kama kutoa "nyege" zao?.

Believe me wanawake hawataki pesa zako na ukiweza kuwaconrolls emotions zao wao ndio watakuwa wanakupa pesa, though maisha ni kusiaidiana sio kutoa tu wala kupokea.
 
Dogo badala utafite pesa unawaza kurizisha..empty brain kabisa

Izi akili mpakato badala uzifiche unaanike nje watu wajue ww ni nzi
ungeelewa alichozungunza na kujaribu kukifafanua pasi na shaka usingezungumza hicho ulichocoment
na inavyoonesha wewe ndo dogo
lkn km ungekuwa kijana 28+ ambao tumepitia misukosuko mingi ya mapenzi
ungekubaliana na hoja zote za msingi alizozungumza hapo so kwa mm kuna fact hapo ambazo zimeniongezea maarifa 7bu ni vitu ambavyo vipo katika maisha kila siku tunapambana navyo bira mafanikio
 
ndio maana me nikikutana na rambo.na charnge gea aangani
 
ulipo zungumzia uume pale kidogo c kukuelewa mkuu uli maanisha ukubwa wa ukee hauwezi kukidhiwa /nakupinga kwenye gemu kuna msuguo pia mkuu,na ukubwa wa uume c kumridhisha mwanamke hapa pana kiujuzi uaga kina tumiaka -ila uzi huu nimeuelewa sanaa —izi ndo nyuzi zenye maana halisi ya greatthinkers asante nayafanyia kazi sasa ivii yani dude shaliamsha hapa home shaanza kukazaa
 
Back
Top Bottom