Wanawake sijui mtakuja kupendana lini???
Ukioa aina hii ya mwanamke kama huyu aliyeanzisha mada, hakuna ndugu yako atakutembelea nyumbani kwako. Yeye siku zote ni negative tu kwenye ndoa dhidi ya ndugu
Ukioa aina hii ya mwanamke kama huyu aliyeanzisha mada, hakuna ndugu yako atakutembelea nyumbani kwako. Yeye siku zote ni negative tu kwenye ndoa dhidi ya ndugu
is kind of bullshit mother
Monster mother in law. Akifanya mchezo atanyukwa
Yani mtu amekubebea bwana wako miezi tisa tumboni (kutapika na mengineyo chungu mzima), ameingia labour kukuzalia mume ambae kila siku anakuliza kwa utamu, mume ambaye anakupa vitu ambavyo si ndugu, baba wala mama aliweza kukupatia ila bado tu unamjadili hapa....tena wengine mnamuita bullshit!! kweli binadam hawabebeki