Habari nilizopata hivi punde ni kuwa mwili wa marehemu unasafirishwa kwenda Tanga mjini ambapo utaagwa na ndugu, jamaa na marafiki, then jioni/usiku utasafirishwa kwenda Machame. Mazishi yatafanyika kesho.
Inshallah wana JF nitawawakilisha kwenye mazishi...!