sawa lakini tuwe na subira kidogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sawa lakini tuwe na subira kidogo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mzabzab, Sep 18, 2012.

 1. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  jamani wanwake ni kweli kuwa mizinga ni sehemu ya mapenzi kwa mwendo wa sasa lakini ebu ngojeni kwanza sio mizinga siku ya kwanza tuu....unapo mpiga mzinga mwanaume siku ya kwanza ni sawa na mwanaume anapo muomba demu K siku ya kwanza. so kama waja na mzinga siku ya kwanza basi nawe uwe tayari kutoa K
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  nawe umeanzisha sred?
  Haya, ngoja wapiga mizinga na waomba K siku ya kwanza waje.
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ah nilipigwa mzinga na dada mmoja on our first meeting nikamuomba K akasema eti nimemkosea adabu
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  he he he he, labda hakuwa na nauli.

  Mie siku ya kwanza kabisa ya kideti duniani, nilihongwa buku, ila sikuomba na nikakataa kataa wee lakini akanilzimisha.

  Na ilikuwa kwa ajili ya nauli ya boda boda ya baskeli.

  Those days bana!

  Niliona kama kanipa mirioni.

   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Sioni uhusiano wowote kati ya mzinga na K!!!!!! Mimi nijuavyo ukinipa money sio kuwa K ni GUARANTEED!!!! La hasha! Mizinga niipokeavyo na kuifadi mimi ni kwa kuwa wewe UMENIKUTA NANGAAAAA!(Huwez jua maybe nangarishwaaa!) Sasa ninapokupiga mzinga ni kuwa natest ability yako ya kuendelea kuniweka TOP IN TOWN, Je unamudu? Na kama nina mtu je unamzidi kwa KISU, na hata nikikubali ntafaidi zaidi au ndo afazali ya jana?
  K nikikupa coz nimejisikia sio sababu ya mizinga, naweza kula pesa na K nisikupe ukitaka kashitaki MAHAKAMANI!
  For real pipos ukweli ni kuwa MIZINGA INATEGEMEA NA UKALI NA LEVEL ZA DEMU MWENYEWE! Demu kama ana kisu kirefu na mkoko wa maana lazima ufungue wallet na kutoa kwa kukadiria bila kuhesabu! Na kama ni beki tatu yake JERO la soda NA 2000 la carolite! Ukiona huwezi VYA KUCHINJA JISEVIE VYA KUNYONGA!!! BAAAAAAAAS!
   
 6. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Aisee!!!!!
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  yaani Dr. Unashangaa mirioni??

  Ni dokta wa shahada ya uzamivu au wa kuchoma sindano.

  Kama hujui mirioni>>milioni
  mfano: 0.2mirioni=38milioni

   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Haahahahaaha
  hapa umenena mtu unaomba penzi siku ya kwanza alaf unapigwa mzinga siku ya kwanza alaf una shangaa!

   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Nahisi nina mtazamo wa kizamani sana!
   
 10. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Mimi ni daktari wa binadamu, nilikuwa sijui ndugu yangu pancrease....... Aisee!!!!! kiswahili kinakua kwa kasi sana
   
 11. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
   
 12. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Binafsi mwanamke akimpiga mzinga mwanaume siku ya kwanza, na mwanaume akaumbo K siku hiyo hiyo na akapewa, then nitashawishika kuwa huyo mwanamke anauaza aiseee, haiwezekani pesa ya siku ya kwanza imvue nguo mwanamke kama hana tabia za kikahaba.
  By the way, nachukizwa sana na wadada wanaotanguliza kupiga mizinga kila wanapotongozwa! Kwa nini wasiwe wavumilivu? Kwenu si wanaume hatujui wajibu wetu? Tunakereka.
  Mwandika thread naunga mkono hoja yako.
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  thread za mizinga zinaboa sasa huku jf kila siku mizinga
   
 14. b

  bizzare Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  elfu kumi unaanzisha thread ukihonga laki?ningeshangaa usiandike "k" ya fore play tayari bado tu gari ni kisu cha kuchinjia wanawake
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  hahahahahahah LARA1 nakuoenda buuuuure bila hela...... Kichwa chako hicho loh.......

  Halafu mzabzab akufukuzae hakwambii toka, sometimes wanawake wanajua akikupiga mizinga ya kutosha utakimbia mwenyewe,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  kazi ipo...mambo ya mirioni hayo.
   
Loading...