Save the Children International Organisation

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
558
Reaction score
336
Habari wana JF,

Jamani wadau naomba mnisaidie kama kuna yeyote ambaye anafahamu salary packages za hawa jamaa wa Save the children International organisation maana kuna kazi yao moja hivi nimeomba. Tafadhalini wakuu naomba msaada kwa mwenye idea. Natanguliza shukrani
 

Mh...Mkuu hata shortlist bado....amyway ngoja wajuvi watakujuza though ungeweka pia title kwani kuanzia karani hadi program Manager wanalipwa sawa?

 
Ni kwa nini huombi kujua ni majukumu gani utakayokumbana nayo huko badala yake unataka kujua pesa tu! Je, ukiambiwa wanalipa $25,000 kwa mwezi utazikataa kwa kusema ni nyingi kupita ulichotarajia?
Fikiria kazi kwanza alafu utalipwa kulingana na utakachozalisha au kama vipi jiajili mwenyewe then you harvest big.
 
Hata kwenye interview hujaitwa sasa wataka kujua salary range kweli? Haya labda una imani ya kuhamisha milima.By the way Internationla organization yoyote salary inakuwa njema sana
 
Mbona watu walishaitwa toka juzi?
Wewe unauliza mishahara wakati wenzako wanajiandaa kuanza kazi. Poor you
 
 
duh... hivi ndio hivyo......... kama unaijua we nambie acha mbwewe
 
mshahara wa kazi ipi? taja kazi tukutajie mshahara!
 
Save the children umetanguliza hela poor you
 
haika kutafuta kazi c kazi bali kupata kazi ni kazi yaani huwa na aply c itwi nikikaa kdogo anajitokeza m2 anaulizie et wanalipwa shiling ngapi let me lough kdogo nipate afya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…