Ndg wewe ulitaka akawekeze wapi? Mbona shule kama Kaizerege iko bukoba lkn watu wanatoka pembe zote za Tanzania kwenda kutafuta elimu kule?Alikosea sana
4.6m ni ada ya kawaida mkuu? Ngoja nimuite magu kwenye huku Uzi, njoo mkuuuuu.......Imeanza ndg yangu na ada yake ni kawaida sana njoo au mlete mtoto zawadi kwa ajili yako inakusubili. Piga 0754907827/0713385028
Je unajua ada ya4.6m ni ada ya kawaida mkuu? Ngoja nimuite magu kwenye huku Uzi, njoo mkuuuuu.......
If you think education is expensive try ignorance4.6m ni ada ya kawaida mkuu? Ngoja nimuite magu kwenye huku Uzi, njoo mkuuuuu.......
4.6m ni ada ya kawaida mkuu? Ngoja nimuite magu kwenye huku Uzi, njoo mkuuuuu.......
Alilenga watu wa migodi
Huo ndio ukweli jamaa anataka vitu vizuri viwe dar au mwanza tu. Hata shinyanga kumekuchaPata uitembelee angalau one day ukajionee,,,,ni shule nzuri sana,,,,i think hata dar/Mwanza and Arushs hakuna kama ile babaa
Huo ndio ukweli jamaa anataka vitu vizuri viwe dar au mwanza tu. Hata shinyanga kumekucha
Pata uitembelee angalau one day ukajionee,,,,ni shule nzuri sana,,,,i think hata dar/Mwanza and Arushs hakuna kama ile babaa
Sio kienyeji bali mitandao ni njia bora ya mawasilianoSavanna mmeanza kutangaza kienyeji hivi hali mbaya
hiyo shule naifahamu sana ni Bonge ya shule jamaa kafanya uwekezaji wa maana sana .nikipata mtoto nitamleta hapo nimeipenda tokea nilipoina Mara ya kwanza kama miaka 4 iliyopita,mmefanya uwekezaji wa maana sanaSio kienyeji bali mitandao ni njia bora ya mawasiliano
Mkuu milioni 4 ni ndogo?Ndg ada ni ndogo sana ni 4m na laki 6 ulipaji maelewana lknsi zaidi ya awamu 4.
Ukilipa mtoto anakuja kama alivyo vitu vyote atavikuta shule
Phantom bado anazo huyu burushi? Zamani alikuwa noma sana.Huyu ni kigogo wa huko huko shinyanga anaitwa fantom
Tuwekee matokeo ya shule yako tafadhali.Je unazijua Feza schools?
Je unazijua mariani schools?
Je unazijua shule zote zinazofanya vizuri hapa Tanzania?
SASA IMEKUJA SAVANNA PLAIN HIGH SCHOOL. ipo shinyanga na ni bweni
Piga namba 0754907827/ 0713385028 kupata nafasi ya kidato cha kwanza.
WANAHITAJIKA WANAFUNZI 42 TU. Wahi sasa nafasi ni chache sana
Weka matokeo ya hii shule ya kidato Cha nne 2019 tuyaone,isije ikawa ni Yale matangazo ya sabuni ya Rexona mtandaoni wazazi wapotezee hapo fedha na muda wa watoto waoJe unazijua Feza schools?
Je unazijua mariani schools?
Je unazijua shule zote zinazofanya vizuri hapa Tanzania?
SASA IMEKUJA SAVANNA PLAIN HIGH SCHOOL. ipo shinyanga na ni bweni
Piga namba 0754907827/ 0713385028 kupata nafasi ya kidato cha kwanza.
WANAHITAJIKA WANAFUNZI 42 TU. Wahi sasa nafasi ni chache sana