Sauti za Milipuko!

Sauti za Milipuko!

The Pen

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
755
Reaction score
261
Jamani, sauti km za milipuko zilizokuwa zikisikika hivi punde ni za nini?
 
Wapi huko au kwenye P.C yako?yani mimi hapa nilipo sisikii kabisa.
 
Uwe wazi ndugu, ni wapi huko kuliko na mlipuko maana si kila mwana JF anasikia kama unavyosikia wewe. WanaJF wametapakaa kila kona ya ulimwengu huu.
 
Ilisikika milipuko, sijui ni ya nini, ndio maana nikauliza. Ilifululiza kwa sekunde chache, maeneo ya kati ya jiji.
 
Na mimi nimeisikia, ilikuwa mitaa ya upanga karibu na ukumbi wa diamond
 
Ilisikika milipuko, sijui ni ya nini, ndio maana nikauliza. Ilifululiza kwa sekunde chache, maeneo ya kati ya jiji.

Na mimi nimeisikia, ilikuwa upanga karibu na ukumbi wa diamond
 
Maeneo hayo kuna Makao MAkuu ya JW, walio karibu tujuzeni isijekuwa yaleyale ya Gombs?

Msiwe na hofu ,kuna afande mstaafu wa jwtz alikua anazikwa maeneo ya kisutu.ni afande aliyekua na cheo cha juu ktk jeshi letu,r i p
 
Hata mimi nilikuwa Muhimbili nikasikia,niliingiwa na wasiwasi mabomu yameanza tena.
 
Ni maziko ya Major General Somebody aliye kuwa anazikwa makaburi ya Kiislamu Kisutu mchana/ jioni hii.
Hupigiwa mizinga 21- controlled.

Nimeongozana na malori matatu ya jeshi jioni hii yakiwavuta Mizinga hiyo along Alli Hassan Road.
 
ni maziko ya Retired mkuu wa jeshi la anga Meja Jeneral Mwakitosi yaliyo fanyika katika makabuli ya kisutu, tusikimbizane wandugu.
 
Back
Top Bottom