Sauti ya kike inanipa kiwewe.

mh hapa mi napita tu, ila naunga mkono ya mafuta ya taa, nakumbuka wakati nipo o Level, mara kadhaa tulikuwa tunawekewa mafuta ya taa kwenye maharage.............
 
mh hapa mi napita tu, ila naunga mkono ya mafuta ya taa, nakumbuka wakati nipo o level, mara kadhaa tulikuwa tunawekewa mafuta ya taa kwenye maharage.............

and????????????????
 
Unajua siwez kusema kwamba ilisaidia moja kwa moja, coz shule niliyosoma ilikuwa kama jeshini vile, hata sikuwa na time ya kuzithink hizo mambo........
ila nimesapot hiyo hoja coz kila tulipouliza sababu ya kuwekewa mafuta ya taa kwenye mlo, walitueleza inapunguza hizo naniliu......lol
and????????????????
 
Hatushindi dhambi kwa kujitahidi Hapana, Kama Umeokoka dhambi sio asili yako, Una amini Biblia? Something is wrong with your faith.

piga bombaaaa!
 
hapa umeongea mkuu hii itasaidia!! hata wanafunzi wa boarding hufanyiwa hv ili kupunguza mihemko kama hyo!!!
haswa...nimekula sana makande na mandondo yenye hiyo makitu...nilikuwa kama Maksai zobazoba tu
 
Ni balehe tu nadhani kadri unavyokua itaondoka..
Ila pia wakati unatafuta tiba..jiepushe kubeba watoto wadogo hususani wakike ..
Naona ni hatari kwa afya yako aiseee...

hahahahahahahahahahahahahahaumenichekesha sana hila ni ushauri mzuri kwa hali aliyonayo.
 
sina muda mwingi wa kuongea na wewe, natamani sana ushauriwe uso kwa uso.tatizo lako kubwa zaidi ni kuwa huna exposure ya kutosha kuwa karibu na wasichana,maana ukiendelea hivi, waweza kupata shida hata wakati wa kuoa,na be careful na wadada,ukipata waliozoea,wanaweza kutake advantage ya huo mshangao wako, kukuingiza mzigoni.but hongera sana kwa kujitunza.kama una mama yako,jitahidi sana kuwa karibu naye,na kuizoea sauti yake.
 
Vaa tu kanzu ni vazi la kawaida si kwa ajili ya waislamu. Pili bora tu uoe mapema maana kwa kasi hiyo hata mbinguni utakukosa
 
haswa...nimekula sana makande na mandondo yenye hiyo makitu...nilikuwa kama Maksai zobazoba tu

sisi boarding tulikuwa tunafanyiwa hivyo...basi watoto wa Enaboishu,Ashira,Kibosho na Weruweru wakija debate shule wala hatukuwa na mpango nao

mh hapa mi napita tu, ila naunga mkono ya mafuta ya taa, nakumbuka wakati nipo o Level, mara kadhaa tulikuwa tunawekewa mafuta ya taa kwenye maharage.............

uwe unanyunyuzia kidogo Mafuta ya Taa katika misosi yako...

hapa umeongea mkuu hii itasaidia!! hata wanafunzi wa boarding hufanyiwa hv ili kupunguza mihemko kama hyo!!!

what is this?? naomba maelezo zaidi, sijawahi kusikia hii kitu. Is it safe?
 
what is this?? naomba maelezo zaidi, sijawahi kusikia hii kitu. Is it safe?

Shake Well Before Use...then mimina kwenye makande au mandondo kiasi kidogo sana...hamu yote ya kugaragara na mama/baba watoto itakutoka kwa ghafla
 
Shake Well Before Use...then mimina kwenye makande au mandondo kiasi kidogo sana...hamu yote ya kugaragara na mama/baba watoto itakutoka kwa ghafla
interesting!! thx for info..... is it done kwenye boys schools only au hata mixed gender schools?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…