swahiba daima
Member
- Apr 28, 2015
- 97
- 10
Upo nae hapo muda huu?
hapana. ila kwa kesho atakuja
Hahahaha umenikumbusha jambo kila nkikumbuka najicheka...
Mdada Jirani yetu alikua kila usiku anapiga makele sana kama vile Anakabwa au anaumwa basi namuonea huruma najisemea huyu dada anateseka sana,asubuhi namuhadithia mama na wengine basi wanacheka tu hawajibu kitu hahahahah miaka michache after nlipata jibu bila ya kuambiwa na mtu kumbe yule dada ni orgasm tu makelele yote yale lol
nawewe unaliaga hivo? basi nipm nna biashara na wewe
Akija record hiyo sauti then ilete hapa tujaribu kujua ni ya mnyama gani.
Akija record hiyo sauti then ilete hapa tujaribu kujua ni ya mnyama gani.
Akija record hiyo sauti then ilete hapa tujaribu kujua ni ya mnyama gani.
Hayo ni mambo ya chumbani kwa nini unayaleta uwanjani.
Na mwanaume rijali hazalilishi wanawake