SAUT na Sakata la Wanafunzi 300 Limekaaje

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
4,478
11,033
Habari hii imeandika katika gazeti la mwananchi siku ya wafanyakazi duniani yaani Mei mosi,Sikuweza kuisoma habari zaidi ya kusoma headline tu.

Wanafunzi takribani 300 wamefutiwa matokeo ambao hawa ni wahitimu tayali,hapa tunaweza zalisha maswali mengi sana

Inakuwaje wanafunzi wafutiwe matokeo wakiwa tayali washa hitimu? Ina maana muda wote wanasoma mpaka kumaliza hawakuwa na sifa ya kuwa wanafunzi wa chuo kikuu?

Na kwanini chuo kiweze kudahiri wanafunzi wasio na sifa za kuwa wanafunzi wa chuo wakati huo huo TCU ipo?

Vipi kuhusu ada walizo lipa hawa wanafunzi zitarudishwa?

Katika wanafunzi hawa 300 unaweza kuta kuna wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu je,watalipa deni?
 
Mkuu hao Wanafunzi Walidahiliwa kwa Vigezo vilivyotolewa na Chuo ama TCU?
Na wamefukuzwa kwa maelekezo ya nani?
 
Habari hii imeandika katika gazeti la mwananchi siku ya wafanyakazi duniani yaani Mei mosi,Sikuweza kuisoma habari zaidi ya kusoma headline tu.

Wanafunzi takribani 300 wamefutiwa matokeo ambao hawa ni wahitimu tayali,hapa tunaweza zalisha maswali mengi sana

Inakuwaje wanafunzi wafutiwe matokeo wakiwa tayali washa hitimu? Ina maana muda wote wanasoma mpaka kumaliza hawakuwa na sifa ya kuwa wanafunzi wa chuo kikuu?

Na kwanini chuo kiweze kudahiri wanafunzi wasio na sifa za kuwa wanafunzi wa chuo wakati huo huo TCU ipo?

Vipi kuhusu ada walizo lipa hawa wanafunzi zitarudishwa?

Katika wanafunzi hawa 300 unaweza kuta kuna wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu je,watalipa deni?
Kwenye suala la elimu kama nchi bado hatujamaanisha
 
IMG-20210502-WA0001.jpeg
 
Mkuu vyuo vinafuata utaratibu wa TCU au TCU inafuata utaratibu wa Chuo ili kudahiri wanafunzi?
Mkuu Mm nimesoma kipindi Chuo kinadahili kwa kuzingatia Vigezo vya TCU, sasa nilisikia katikati hapa TCU ndio walikuwa wanadahili na kupangia Vijana Vyuo au huu Uzee unanivuruga?
Vyovyote iwavyo hebu nitoe tongo tongo hapo!
 
Back
Top Bottom