SAUT-Mwanza watoa tamko la kutoonekana kwa mtumishi wao Padre Nikata

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
TAARIFA KWA UMMA:Kutoonekana kwa Mfanyakazi wa Chuo Padre Camilus Nikata.Tunaendelea kumuomba Mwenyezi Mungu amkinge na maovu yote, amwimarishia ulinzi na kumwongezea usalama Padre Nikata

Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT) kimepokea kwa mshutko mkubwa taarifa iliyotolewa na Baba Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Mhashamu Askofu Damian Dallu kuhusu kutoonekana kwa Padre Camillus Nikata ambaye ni padre wa jimbo lake na taarifa hii kuenea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii tangu siku ya Jumatano tarehe 8 Oktoba 2025.

Pia Soma:

Kwa namna ya kipekee Uongozi wa SAUT unapenda kuuhabarisha Umma kuwa Padre Camillus Nikata ni Mhadhiri wetu katika Idara ya Mawasiliano ya Umma na aliwekewa Dodoma kwenye mafundisho ya moyo ya mapadre wanorodheshwa katika vyuo vikuu vya kikatoliki nchini vilivyo chini ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kama ilivyolezea taarifa ya Baba Askofu Mkuu Damian Dallu.

Ofisi ya Baba Askofu Mkuu ilichukua jukumu la kuilatarifu jeshi la polisi kwa ajili ya ufuatiliaji uchunguzi baada ya juhudi zote za kumtafuta kufanyika bila ya mafanikio.

Kufuatilia hali hii ya kutoonekana kwa Mhadhiri wetu, Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT) kupitia ofisi ya Chaplaincy limeandaa misa maalum kwa ajili ya kumsabamia Mwenyezi Mungu kumkinga na maovu yote, kumwimarisha ulinzi na kumwongozea usalama Padre Nikata.
1760625803490.jpeg
 
View attachment 3489553
Chini ya Chura Kiziwi, hii nchi inakwenda shimoni. Labda hii ndiyo njia aliyoichagua Mungu kuwatoa Watanzania usingizi.
 
Waambieni wakina Mpango, Biteko na Nchimbi wawasaidie
NCHIMBI ni Mseminary kutoka Maua (St.James Seminary ) Baada ya seminary ndogo alijiunga na seminary kuu ya Peramiho akisomea Upadre (Aliwahi kuiwa Frt Emmanuel NCHIMBI )

2.Isdory MPANGO ni Mseminary wa Ujiji seminary (St.Joseph Seminary ) halafu akaenda Seminary ya Itaga Tabora

Hawa watu wawili pekee niwakotoliki wazuri waitwe mara moja lazima watasema Padri Camilius yuko wapi?
 
Kwani huyu padre alikuwa mkosoaji au alikuwa na mfogoro na watawala?
Huyu padri ni mhadhiri kitivo cha mawasiliano ya Umma ambacho maswala ya habari na mawasiliano yanaingia kwa miaka yote amekuwa akitumia pages zake za kijamii kuchapisha habari mbali mbali bila kujali itikadi sasa Wanaojulikana wakaona ni Mhaini wamepita nae inasemakana ni baada ya kukata tiketi kwa ajili ya kulud mwanza ndo wakapata location yake

Pia haya ni maelekezo ya ule waraka wa kuorodhesha viongozi wa dini wanaompinga bi chura kiziwi kwahiyo nae alikuwepo humo akina Kaaya wamemchoma
 
Kufuatilia hali hii ya kutoonekana kwa Mhadhiri wetu, Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT) kupitia ofisi ya Chaplaincy limeandaa misa maalum kwa ajili ya kumsabamia Mwenyezi Mungu kumkinga na maovu yote, kumwimarisha ulinzi na kumwongozea usalama Padre Nikata.
Huu nao ni uandishi wa ajabu sana.

Kuna ulazima gani wa kuandika taarifa ndefu yenye sentensi nyingi zisizo eleweka kwa jambo kama hili?
 
Pia haya ni maelekezo ya ule waraka wa kuorodhesha viongozi wa dini wanaompinga bi chura kiziwi kwahiyo nae alikuwepo humo akina Kaaya wamemchoma
"...ule waraka wa kuorodhesha viongozi wa dini..."? Huu waraka ulitoka wapi na lini?

Haya mambo yamekuwa mazito na mabaya zaidi kwa sababu tya hizi tabia mbaya za kutotamka mambo bayana; kila mara tunavungavunga tu,... sasa hawa washenzi wametumia udhaifu wetu huo na kufanya mambo yao.

Sasa ngoja tuone tutafika wapi namna hii ya" kudharau mwiba" kwetu huko!

Samia na Genge lake wameitumia hiyo sifa mbaya tuliyo nayo na kuwa na ujasiri wa kufanya wanavyo penda wenyewe kama inavyoonekana sasa.

Tutalipa gharama kubwa sana..
 
Waambieni wakina Mpango, Biteko na Nchimbi wawasaidie
Hawa wamejawa na asali mdomoni, wataanzia wapi kusema chochote!
Huyo waziri wa mapolisi, si na yeye nasikia ni wa huko huko, lakini habari ya Padre Kitima ulisikia chochote kutoka kwake?
Unafiki haujawahi kumsaidia mtu jambo lolote. Huko kwenye kanisa hilo nako kumeingia unafiki mwingi sana siku hizi.
Akina Samia ambao maisha yao yote ; tokea utotoni, tabia hii wanaijuwa vizuri sana na wanaitumia kwa manufaa yao wakati huu.
 
"...ule waraka wa kuorodhesha viongozi wa dini..."? Huu waraka ulitoka wapi na lini?

Haya mambo yamekuwa mazito na mabaya zaidi kwa sababu tya hizi tabia mbaya za kutotamka mambo bayana; kila mara tunavungavunga tu,... sasa hawa washenzi wametumia udhaifu wetu huo na kufanya mambo yao.

Sasa ngoja tuone tutafika wapi namna hii ya" kudharau mwiba" kwetu huko!

Samia na Genge lake wameitumia hiyo sifa mbaya tuliyo nayo na kuwa na ujasiri wa kufanya wanavyo penda wenyewe kama inavyoonekana sasa.

Tutalipa gharama kubwa sana..
Bado hatujalipa vizuri
 
Back
Top Bottom