SAUT Mnachelewesha boom bila sababu?. Angalia hapa.

Status
Not open for further replies.
I like SAUT na ninajivunia kuwa zao mojawapo, SAUT is good, nimesoma hapo sociology na kwa sasa niko smwhere nafanya kazi tena inanilipa vizuri tu. Usibabaike na mambo ya penati hiyo huwa ni mizengwe yao tu, watu tulikuwa tunalipa ada wiki moja kabla ya mitihani na hatupewi penati.
 
ok,mie nilijua ni vipanga wa ud,sua,mzumbe na udom ndo mikopo inawahusu!kumbe hata huko kwa waliofel wanakumbukagwa,basi serikali yetu ina fedha za mchezo.

ulianza lini kufanya hiyo research na nani msimamizi wako aliyekucertify kugeneralize hyo sentensi yako?
 
SAUT mnakaribia mwezi sasa hamjapata boom UDSM siku tano tu wamepewa boom leo mjiulize wenyewe kwa nini?
 
Ni vilaza tu huwa wanatoa matusi kama Silinde

Silinde ni good boy Mwanaharakati aliyemaliza UDSM 2010 na moja kwa moja akagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA na kushinda.

mtu wa Matusi ni kilaza Livingstone Lusinde (Magamba)Mtera
 
Silinde ni good boy Mwanaharakati aliyemaliza UDSM 2010 na moja kwa moja akagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA na kushinda.

mtu wa Matusi ni kilaza Livingstone Lusinde (Magamba)Mtera

Mkuu Ejay! I stand to be corrected, huwa nachanganya hapo, kweli lusinde ndio anakunya matusi
 
Mie mwanangu akimaliza pale bagamoyo nampeleka zangu south africa tu akasomee u pilot hivyo vyuo vyenu mtasoma nyie
 
Alafu hawa(udsm) wenye kudharau vyuo vingine , mimi naona boraa tuu wangekaa na kutafakari jinsi ya kuuanza huo mwaka wa masomo na sio kuleta majigambo na majivuno tuu,kumbkeni wengine o-level walikuwa vilaza sugu mtu kapigaiii.25,form six kapiga one leo anakuja kukejeli wenye div three tuweni wakimya jamani na tusijisifu
 
Siku zote naamini,we have fake intellectuals in our nation who never remember where they come from and what they suppose to do | | Je,ninyi wa SAUT,UDSM,UDOM n.k hamkuchaguliwa na TCU kujiunga na vyuo vikuu? Kama ndivyo,kwani TCU ina mfumo na sera tofauti,kiasi cha kuwapeleka vyuo vikuu hata baadhi ya waliofail kwenye baadhi ya Vyuo? | | Pili, bodi ya mikopo inatoa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa stahiki,Je kwa akili zenu mnaamini kuna vyuo wanapata mkopo hata kama walifeli,wala siyo priority course? Tatu,nimewasiliana na uongozi SAUT,deadline ya kulipa ada ni 25,oct,2012.Kwa nini mleta maada anakurupuka bila kuhakiki mambo? Nne,Mwaka wa kwanza wamesaini kuanzia tar.3,4 na 5...kutokana na ukweli kwamba wengi hawakuwa na akaunti,kwa nini mleta maada anapotosha ukweli eti wamesaini wiki zima? Mwisho,aina ya usomi walionao vijana wengi ni upofu wa kujiona wanaelewa, hawana critical thinking kitu ambacho kitawafulisha kwenye EAC. |No evidence,no right to talk!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom