SAUT Mnachelewesha boom bila sababu?. Angalia hapa.

Status
Not open for further replies.
HAWA WANAOJISIFU WANASOMA UDSM WEE ANGALIA SHULE WALIZOSOMEA TU ADVANCE UTANIPA JIBU ,JEE WATU WA ILBORU,TABORABOYS,MZUMBE,KIBAHA TULIOSOMEA KWENYE HIZO SHULE TUKIANZA KUWAKEJELI NYIE MLIOSOMEA BAGAMOYO (az 89)SHULE AMBAYO INACHUKA MAPAKA WENYE UFAULU MCHAFU III.25
 
Kuna wa2 wanajishaua humu oooooh UDSM kumbe shemeji yake aliyemuoa dada yake kasoma hapo baaaaas ndo hasikii wala haoni hovyooo

We sungura nini! Labda dada zako wanaweza fanya hivyo, lakini kwa mimi siwezi
 
HAWA WANAOJISIFU WANASOMA UDSM WEE ANGALIA SHULE WALIZOSOMEA TU ADVANCE UTANIPA JIBU ,JEE WATU WA ILBORU,TABORABOYS,MZUMBE,KIBAHA TULIOSOMEA KWENYE HIZO SHULE TUKIANZA KUWAKEJELI NYIE MLIOSOMEA BAGAMOYO (az 89)SHULE AMBAYO INACHUKA MAPAKA WENYE UFAULU MCHAFU III.25

Hahahaha kijana Grade niliyooondoka nayo form 4 imeacha historia na Grade niliyotoka nayo Bagamoyo ndo ilinifanya niingie Udsm tena zile kozi zinazohitaji ufaulu wa hatari, usiposimamisha kijiti cha maana Udsm utaionaga kwenye magazeti na mlimani Tv
 
ujinga nikujiona bora kuliko mwenzako wakati hamna kitu


special dedication kwa wale wanayoiona UDSM kama OXFORD......acheni ushamba!!!
 
hahahaha kijana grade niliyooondoka nayo form 4 imeacha historia na grade niliyotoka nayo bagamoyo ndo ilinifanya niingie udsm tena zile kozi zinazohitaji ufaulu wa hatari, usiposimamisha kijiti cha maana udsm utaionaga kwenye magazeti na mlimani tv
sasaaa kama ulifanya vizuri kwa nini hukwenda special school
 
Hahahaha kijana Grade niliyooondoka nayo form 4 imeacha historia na Grade niliyotoka nayo Bagamoyo ndo ilinifanya niingie Udsm tena zile kozi zinazohitaji ufaulu ,MIMI NINACHOJUA KAMA UNGEKUWA O-LEVEL NA ONE KALI NA POINT TATU KWENYE KOMBI YAANI AAA UNGECHAGULIWA KIBAHA,MZUMBE,TABORABOYS,ILBORU INAONYESHA DHAHIRI WEWE ULIKUWA NA UFAULU HAFIFU
 
Hahahaha kijana Grade niliyooondoka nayo form 4 imeacha historia na Grade niliyotoka nayo Bagamoyo ndo ilinifanya niingie Udsm tena zile kozi zinazohitaji ufaulu wa hatari, WEWEEE ACHA KUJISIFU UNGEKUWA KWELI UNA AKILI NA PIA O-LEVEL UNGEKUWA NA ONE KALI NA POINT TATU UNGEENDA SPECIALSCHOOL ,NINAVYOONA O-LEVEL ULIKUWA NA III.25
ALAFU KWENYE KOMBI ULIKUWA NA CDD
 
hili ndiyo tatizo la watoto wa mashambani walipokuwa wanasoma waliambiwa kuna vyuo vikuu viwili tu tz UDOM, na UDSM basi wakasoma kwa mbwebwe leo wamepata bahati kutoka mashambani kwao kuja mijin wanaanza kelele division one sijui UDSM haya na wale wanaosoma pitia online inakuwaje achen uzuzu wa maporini kwenu uko
 
Ndo maana hii nch haitoki ilipo watu wanamawazo mgando sijapata kuona,mi sijasoma UDSM na ktka vyeti vyangu nimegongo dv 1 tena si za masihara.ngoja nipumzke mimi stareh za dunia zimenchosha.
 
ukitaka kujua ubora wa SAUT kaulize utawala wa udsm, udom, mzumbe, na tcu kuwa chuo kipi cha private kinachowaumiza vichwa kitaaluma tz utapata jibu au nenda tcu uliza chuo kipi cha private mda wa udahiri kinapata wanafunzi wengi nje ya uwezo wa kudahili utambiwa sasa kama kuna mtu anapenda kibaya basi huyo inabidi achunguzwe akili yake
 
Hahahaha kijana Grade niliyooondoka nayo form 4 imeacha historia na Grade niliyotoka nayo Bagamoyo ndo ilinifanya niingie Udsm tena zile kozi zinazohitaji ufaulu wa hatari, WEWEEE ACHA KUJISIFU UNGEKUWA KWELI UNA AKILI NA PIA O-LEVEL UNGEKUWA NA ONE KALI NA POINT TATU UNGEENDA SPECIALSCHOOL ,NINAVYOONA O-LEVEL ULIKUWA NA III.25
ALAFU KWENYE KOMBI ULIKUWA NA CDD

ningekuwa nilipata div 3 au 2 ningeacha kusoma au kurudi form three, afu kumbe kuna kitu inaitwa special school? Nimeangalia mdahalo leo Star Tv wanasema Tanzania inaiga vitu kwa kutaka sifa, unaongeza idadi ya vyuo huku kukiwa hakuna sera nzuri ya kuinua taaluma hali inayopelekea kuzalisha mabogus wengi kama wewe,
 
ningekuwa nilipata div 3 au 2 ningeacha kusoma au kurudi form three, afu kumbe kuna kitu inaitwa special school? Nimeangalia mdahalo leo Star Tv wanasema Tanzania inaiga vitu kwa kutaka sifa, unaongeza idadi ya vyuo huku kukiwa hakuna sera nzuri ya kuinua taaluma hali inayopelekea kuzalisha mabogus wengi kama wewe,[/QUO


wakuja utawajua tu, za sahizi poti! upo?
 
Enyi form six leavers, post ujumbe kama watu mliohudhuria darasani, mkawa socialized hata kama hamkuelimika. Si lazima uwe na post nyingi au u-comment kwenye kila post. Hamjui kama mmekua!. Hili si jukwaa la kuoneshana upumbavu.
Ninyi mnasoma Ud,Udom, Saut n.k tena Tanzania mnajiona wenye akili, wajanja, wenye pesa! Je, mngesoma Univ of Leeds?! Kuweni makini "Maisha yanaendelea".
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom