SAUT-ARUSHA

Jaman naomba taarfa fupi kuhusu chuo cha SAUT campus ya ARUSHA, (mazingira, na taaluma kwa ujumla)
Kwa taaluma ni kizuri ,pia kipo town ,suala la hostel magumash wengi wanapanga mtaani ,pia chuo kina eneo dogo , ukiwana tatizo lolote kulisolve ni simple tu maana wahusika wanapatikana kirahisi, ila cha mwisho ratiba za pale zinabana sana vipindi adi jumamosi
 
Back
Top Bottom