GE2025 Saumu Rashid apitishwa Rasmi Kupeperusha Bendera ya Urais kupitia UDP

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Saumu Rashid amepitishwa na mkutano mkuu kuwa mgombea wa urais baada ya kupigiwa kura za ndiyo na wajumbe 376 kati ya 390 katika mkutano wa chama hicho

Saumu ambaye ni Katibu Mkuu wa UDP, ametangazwa leo Jumatatu Agosti 11,2025 na mkurugenzi wa uchaguzi wa chama hicho, Hussein Lutambi, katika mkutano wao mkuu uliofanyika katika ukumbi wa Lulu, Sinza jijini Dar es Salaam.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Pia mgombea urais huyo amemchagua Juma Khamis Faki kuwa mgombea mwenza.

Kwa upande wa Zanzibar, Naima Salum Mohamad, ameteuliwa kugombea nafasi ya urais.

Naima ambaye katika uchaguzi huo alipigiwa kura za wazi, wajumbe wote walimpitisha kwa kusema ndio.

Screenshot 2025-08-11 193808.png
 
View attachment 3438559
chakula cha watu hicho
 
Nyogeza ya kifungashio baada ya kununua..........magimbi unapewa na kiazi pori
 
Sijawahi kuwasikia popote hawa
Aisee,nao ni wanasiasa?

CCM mmeweza!🙌
 
Back
Top Bottom